Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amechuja, hizo ni kick za kurudisha umaarufu....Nnavyomfahamu Mr. Bluu sio mtu wakuongeaongea ujingaujinga kwenye media, sio mtu wa kutafuta kiki za kijinga, ila sijui nini kimemkuta mwakahuu, tokea ishu ile ya Sugu kilasiku anaibuka na mpya
..wapigie wazazi wako waambie upo na mimi//siku hizi sio mtoto wa mama,mtoto wa mjini..nazama mpaka chumvini!Sasa HV u HB umeenda kwao kanenepa mishavu lol[emoji14] [emoji14] [emoji14]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]..wapigie wazazi wako waambie upo na mimi//siku hizi sio mtoto wa mama,mtoto wa mjini..nazama mpaka chumvini!
#Baki_na_Mimi!
Tanzania ya viwanda siyo ... viwanda vya ngono itakuwaNaiona Tanzania ya viwanda
MWAKA HUU ANKALI MKULU KUKAYA ATAKOMA...
TAIFA LA VIWANDA HALIWEZI KUJA KWA MAWAZO HAYA YA BLUE NA HAO WALIOKUWA WAKIENDA MASKANI KUSUBIRIA KING MSWATI ACHAGUWE KINYAMA CHA KUTAFUNA USIKU HUO.....
TAIFA LA VIWANDA BADO NI NDOTO INAYOITAJI ONGEZEKO LA MASAA YA USIKU ILI IKAMILIKE.
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji23]..wapigie wazazi wako waambie upo na mimi//siku hizi sio mtoto wa mama,mtoto wa mjini..nazama mpaka chumvini!
#Baki_na_Mimi!
Imeahirishwasikukuu ya IDD ni lini wakuu!?
Mwenyewe nimeshangaaAna ustaa gani nya tu huyo
Hahahaa! Hapo zamani za kale.... Blah blah!WALIKUWA, USTAA ALIOKUWA NAO
Blue alikuwa HB sana enzi hizo anatoa blue blue kiss kiss mapozi hadi 2006 hivi nilimuona live alikuwa anapapatikiwa na mademu kinoma...kwa sasa u-HB kwisha.
kabisa mkuuNaiona Tanzania ya viwanda
inaletwa na Mr blue?kabisa mkuu
inaletwa na Mr blue??Naiona Tanzania ya viwanda
sio kweli kama ni hivo najua wanawake tungewapoteza wengi, mwanamke ambae hat**obw.i sana minimun ni 500 wale wanananiliwa haswa matobo yao ni 1000 na kwenda juu.Na UKIMWI utakuwa umejipanga kwake