Sasa wewe mawazo ya mr. Blue unayahusisha na viwanda? Mr. Blue ndio mtunga sera?MWAKA HUU ANKALI MKULU KUKAYA ATAKOMA...
TAIFA LA VIWANDA HALIWEZI KUJA KWA MAWAZO HAYA YA BLUE NA HAO WALIOKUWA WAKIENDA MASKANI KUSUBIRIA KING MSWATI ACHAGUWE KINYAMA CHA KUTAFUNA USIKU HUO.....
TAIFA LA VIWANDA BADO NI NDOTO INAYOITAJI ONGEZEKO LA MASAA YA USIKU ILI IKAMILIKE.
viwanda vitajengwa na walioviahidi sio Mr. BlueSasa wewe mawazo ya mr. Blue unayahusisha na viwanda? Mr. Blue ndio mtunga sera?
Ndo manaake, lakini kuna watu humu kikitokea kituko fulani au udhaifu wanahusisha serkali hata kama hakina uhusiano na uongozi, mfano huyo mr. Blue anaeleza mambo yake miaka ya nyuma ambapo hata awam ya tano haikuwepo, jitu linaibuka na kulazmisha mawazo ya mr. Blue kuwa ndio yenye tegemeo la kuleta viwanda awamu ya tano...viwanda vitajengwa na walioviahidi sio Mr. Blue
Alipata faida gani. Vitu vingine upuuzi mtupu. Hawaongezi lolote hawa viumbe wanakuharibia tu maisha.
Mr. Blue Anadai kuwa kutokana na ustaa aliokuwa nao, wasichana wengi walimtaka na yeye alichokifanya ni kuchagua amtakaye na kumpa mambo. Blue anasema enzi hizo alikuwa playboy haswaa!
Anasema yeye alikuwa hajui kutongoza mwanamke na wasichana walikuwa wanakuja kwake anachagua wa kuwa naye kisha anawaambia wenzake waliyekuja nae aondoke au mpenzi wake anakuja na rafiki yake kisha anamuambia wewe leo sikutaki namtaka rafiki yako leo wewe ondoka na anaondoka na kesho yake anarudi tena.
Ameongezea kuwa wasichana wengi walikuwa wakija na kujazana maskani yeye anachagua tu utafikiri walikuwa wanasubiria hela.
Bado tu mkuu mnaisakama ndumu.ebu iacheni ipumue.Pafu moja ya ganja inakaa 7 years
nasikia huwa inakuwa ivo mara kadhaaHivi ina maana ukiwa mbongo fleva au mbongo movie lazima akili zihame?
et eeh??kwani kipindi kile blue alikua ameshabalehe kweli? Enzi za umaarufu wake kalikua katoto basi mabinti walikua wanam baka huyu
The pastWALIKUWA, USTAA ALIOKUWA NAO
Sasa HV u HB umeenda kwao kanenepa mishavu lol[emoji14] [emoji14] [emoji14]Blue alikuwa HB sana enzi hizo anatoa blue blue kiss kiss mapozi hadi 2006 hivi nilimuona live alikuwa anapapatikiwa na mademu kinoma...kwa sasa u-HB kwisha.
ahaa blue, AMANI DSM, NYUMBANI DSM , RIP mama yangu
Mr. Blue Anadai kuwa kutokana na ustaa aliokuwa nao, wasichana wengi walimtaka na yeye alichokifanya ni kuchagua amtakaye na kumpa mambo. Blue anasema enzi hizo alikuwa playboy haswaa!
Anasema yeye alikuwa hajui kutongoza mwanamke na wasichana walikuwa wanakuja kwake anachagua wa kuwa naye kisha anawaambia wenzake waliyekuja nae aondoke au mpenzi wake anakuja na rafiki yake kisha anamuambia wewe leo sikutaki namtaka rafiki yako leo wewe ondoka na anaondoka na kesho yake anarudi tena.
Ameongezea kuwa wasichana wengi walikuwa wakija na kujazana maskani yeye anachagua tu utafikiri walikuwa wanasubiria hela.
muulize sepengaAna ustaa gani nya tu huyo