Mr. Blue: Mimi Ndio nilimtoa Alikiba, Bangi ilisababisha nidrop kimuziki

Mr. Blue: Mimi Ndio nilimtoa Alikiba, Bangi ilisababisha nidrop kimuziki

afadhali liwe la shavu tu....isije ikatokea kule nako kukapwitapwita..teh

Usijali. Maana inabidi nikujibu kama vile unanimiliki na kama ka wivy...eeee...sawa shavu tu, si unajua tena ni Mr. wa Zari.

Ok mie ciaooooo
 
Bangi ilimpoteza, na sembe inemrudisha! Safi kijana, sembe kwa maendeleo chatu wa nyandu
 
Na Wavuta bangi wakimuuliza atawaambia " muziki ndio unasababisha nidrop kuvuta bangi"
 
Hii bangi inawaharibu nyinyi tu!! Sema tu akili zako hazipo sawa. Kidogo kisingizio bangi, kidogo bangi, so ulikuwa unavuta bangi 24*7!!? N moshi wa bangi hautoki miaka buku ngap sijui, haya utaimproove vipi.. Keleuw wee.. Usisingizie bangi tena.. Yakina bob marley tuachien wakin Makaveli
 

Hii nyimbo ndo Ali kiba katolewa humor na Mr blue na Abby skills ndo walimuexpose mshikaji inawqzekana pia dully Ana mchango wake lakini huwezi kupuuzia Mr blue pia.


alianza dully ....ndio hivyo, sio inawezekana

 
Back
Top Bottom