mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
Jamani nini tena? maana umenivunja mbavu na mmmm yako mshabiki mimi. Napita...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
Jamani nini tena? maana umenivunja mbavu na mmmm yako mshabiki mimi. Napita...
Mmmmm...ushabiki huo hadi kunanihiii..isijekuwa ukimuona unananihii tu
Embu niache mie, nikimuona nitamkumbatia na busu la shavu atapata.
afadhali liwe la shavu tu....isije ikatokea kule nako kukapwitapwita..teh
Pafu moja miaka 7Ukimuangalia vizuri utagundua bado bangi ipo kichwani
Hii nyimbo ndo Ali kiba katolewa humor na Mr blue na Abby skills ndo walimuexpose mshikaji inawqzekana pia dully Ana mchango wake lakini huwezi kupuuzia Mr blue pia.