Kwanza we Hauna akili,nshakukumbukaBabuuu ndio maana kuna priorities sasa ulitaka wote tupende taarabu??
Gerarahia nigaaa pleeeeeeeaseUnaweza vipi kujibu mtu asiye na akili huoni kwamba unajidhihirisha namna ulivyo zwazwa?? Kama wewe ni mwalimu na mada ilikuchoma pole yako...
Umemalizia vizurimkuu kwa taarifaa yako MR BLUE anapastigi swaga za joslin ...we chunguza ..kunakipindi niliwahi kusikia mjadala cloudz kuhusu hilo sakata ..mwenye kuweza kuweka nyimbo ya tabasamu na niite basi mpenzi uwe wangu ..awekee ..jamaa ajionee mwenyewee jinsi staili ilivyo pastiwa #natania tuu
mkuu kwa taarifaa yako MR BLUE anapastigi swaga za joslin ...we chunguza ..kunakipindi niliwahi kusikia mjadala cloudz kuhusu hilo sakata ..mwenye kuweza kuweka nyimbo ya tabasamu na niite basi mpenzi uwe wangu ..awekee ..jamaa ajionee mwenyewee jinsi staili ilivyo pastiwa #natania tuu
Angeimba msanii wa kawaida tu na hata kama angekuwa na swaga kama za Blue watu tungeona anaimba utumbo,ukiwa msanii mkubwa watu hujilazimisha kuelewa kazi zako ila angekuwa msanii wa kawaida hakuna mtu ambaye angemtetea.Sio kila nyimbo mtu uimbe ujumbe tu,kazi za sanaa ni kuburudisha,kuelimisha,kuonya........yeye ameburudisha kwa uwezo wake
Halafu naona humu kuna team Mr.Blue.
Nyimbo nyengine akiimba msanii asiyejulikana itaonekana makelele tu,mfano kama hiyo nyimbo ya Blue yani anatukana tu hakuna kitu.