Mr. Blue na Baki na Mimi

Mr. Blue na Baki na Mimi

Ujinga wa hiyo nyimbo,sio wa kutoka hadharani na kusema unaikubali,ameimba pumba tupu,mistari ya darasa la sita,mitusi na mibange......pumba tupu
 
mkuu kwa taarifaa yako MR BLUE anapastigi swaga za joslin ...we chunguza ..kunakipindi niliwahi kusikia mjadala cloudz kuhusu hilo sakata ..mwenye kuweza kuweka nyimbo ya tabasamu na niite basi mpenzi uwe wangu ..awekee ..jamaa ajionee mwenyewee jinsi staili ilivyo pastiwa #natania tuu
 
Umemalizia vizuri
 
Mr. Blue mistari hamna mule, anazuga tu
 
mkuu kwa taarifaa yako MR BLUE anapastigi swaga za joslin ...we chunguza ..kunakipindi niliwahi kusikia mjadala cloudz kuhusu hilo sakata ..mwenye kuweza kuweka nyimbo ya tabasamu na niite basi mpenzi uwe wangu ..awekee ..jamaa ajionee mwenyewee jinsi staili ilivyo pastiwa #natania tuu

Duuh bora ulivyosema Unatania,
Maana sisemi sana.
 
Sio kila nyimbo mtu uimbe ujumbe tu,kazi za sanaa ni kuburudisha,kuelimisha,kuonya........yeye ameburudisha kwa uwezo wake
Angeimba msanii wa kawaida tu na hata kama angekuwa na swaga kama za Blue watu tungeona anaimba utumbo,ukiwa msanii mkubwa watu hujilazimisha kuelewa kazi zako ila angekuwa msanii wa kawaida hakuna mtu ambaye angemtetea.
Tatizo sio kwamba nyimbo haina ujumbe,bali nyimbo kwangu mie naona ipo chini ya kiwango.
 
Halafu naona humu kuna team Mr.Blue.

Sasa ulidhani Blue angekua hana mashabiki wake wa damu??
Hatujakataa kwa maono yako wimbo hauna kiwango,

Ila kwa mashabiki wa Blue unakiwango na tumeupokea.
So relax man.
 
Nyimbo nyengine akiimba msanii asiyejulikana itaonekana makelele tu,mfano kama hiyo nyimbo ya Blue yani anatukana tu hakuna kitu.

''kesho kutwaaa...mipango ya harusi,hakuna tena zinaa hakuna tena matusi''....iyo verse ya tatu iyooo
 
Back
Top Bottom