Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hata Pac free style amna kitu....Jay Z ndio kabisa sifuri na hao pia huwakubali?!Fid anajua sana, tatizo hajui kufreestyle...ndo maana nimeamua kumkubali MBISHI badala ya fid.
...wapigie wazazi wako wambie uko na mimi! .....Nampenda Mr. Blue,
Msanii pekee asiyechuja,
Msanii anayewika bila dili la matangazo,
Hana rafiki Paparazi ili jina lake liwe juu.
Kiufupi Blue hata aimbe Mabata madogo madogo me nitapenda na nitaimba nae.
dah jamaa namkubali kweli...wapigie wazazi wako wambie uko na mimi! .....
Mr umemaliza. Uko sahihi kabisa. Bongofleva wengi ni ama kuimba tu au Kuchana tu lakini Blue kama alivyokuwa Ngwea (R.I.P) anakupa vyote. Iwe ngoma za kibishoo au za kisela kama za BoB micharazo zote anaweza. Yuko vizuri.Blue ni kati ya wasanii tallented kupata kutokea kwenye game ya bongofleva, anauwezo mkubwa wa kurap na kuimba, huyu ni jamii za kina Ngwea. Furaha tele,....tele, wambie wakina... Leo siku ya vigelegele...
Ana style za kipeke yake sana. Namkumbuka huyu dogo tangu anaimba freestyle hana hata singo 1.ali washaghairi moto siku moja pale vijana club sio mango balaa. Kulikua na mashindano ya rap.Ni kweli matusi sikatai angeimba mwingine isingesikika sababu Blue ana swagger zake zilizopelekea nyimbo ibambe...