Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Alitaka kuingia kichwa kichwa nikamwambia bro piga kazi achana na hao wajanja wa town, uzuri alisikia maneno yangu bila hivyo angekua anaomboleza saa hii.Aliweka mil 10 akitegemea mil 20[emoji1787][emoji1787] Mwambie pesa serikali ishazibebaaa
Kidogo kwa mbaaaaliii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]thubutu [emoji3]
Kabisa mkuu..Joti anatangaza kazi za makampuni makubwaa tu sasa ukiona anatangaza kazi ya Mtu binafsi jua mpunga wa maana umetokaa..Huyu jamaa si aliwapa akina joti tenda yakutangaza biashara yake itakua kavuna pesa nyingi sana
Pesa nyingi bila uhuru bora kuwa masikini, Financial freedom ndio lengo la kuwa na pesa nyingi nijichimbie nibadili sula yaani waliokuwa wananishuudia kwenye msoto siku nikioita na Roll Royce mtaani hawanijui shits.Huyo anayeitaja Namibia kama ni mhalifu bado amateur. Namibia si salama kabisa. Hizi nchi za SADC sio. Kuna nchi bara Asia huko na visiwa. Hawakupati milele. Na unakwenda kabisa kufanya na plastic surgery ya sura. Kuna nchi hazina mafungamano na Tanzania na hakuna masuala ya interpol.
Mtu Binafi ??Kabisa mkuu..Joti anatangaza kazi za makampuni makubwaa tu sasa ukiona anatangaza kazi ya Mtu binafsi jua mpunga wa maana umetokaa..
Kampuni ya Mr.Kuku mbona pale kakamatwa mtu mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtu Binafi ??
Kwani sio kampuni ile.
Mkuu kakamatwa au anashitakiwa ??Kampuni ya Mr.Kuku mbona pale kakamatwa mtu mmoja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiongee sana nina uchungu na ile kitu inayoitwa Desi wallah halafu serikali ikaja chukua kilaiiini hela zetu ,[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Ujinga wa watanzania hauna kipimo, perhaps we deserve to be one of the poorest countries.
Nyinyi ndiyo akina Kasusura au wale wa kampuni ya ulinzi walioenda kukaa Mbagala ili wawatambie wananzengo.Pesa nyingi bila uhuru bora kuwa masikini, Financial freedom ndio lengo la kuwa na pesa nyingi nijichimbie nibadili sula yaani waliokuwa wananishuudia kwenye msoto siku nikioita na Roll Royce mtaani hawanijui shits.
Wale wa jamaa wa Mbagala walikuwa wapuuzi sana. Labda uduni wa elimu uliwaponzaNyinyi ndiyo akina Kasusura au wale wa kampuni ya ulinzi walioenda kukaa Mbagala ili wawatambie wananzengo.
Njoo uwe mwanachama, ujichukulie mahelaNikope basi million 100 tu!
Mmiliki anaitwa Yona? Mafaili yake nimeshayaona.Haya makampun ya kitapeli yamejaa,kuna moja inaitawa VKP INVESTMEST wauza viwanja kwa mkopo,watu tuliwaamini sababu ni registerd tumemaliza mikopo hakuna cha viwanja,mashamba wala kurudishiwa hela mwaka wa tatu kesi ipo mahakamani zaidi ya bilioni moja watz tumepigwa watu zaidi ya 300.Mmiliki wa kampuni hana pesa wala kiwanja cha kumpa mtu.
Huyu mtu anawekeza, haibi cha mtu. Ukifika shambani kwake unaona kabisa mabanda na kuku zaidi ya laki mbili. Ana masoko ya uhakika, anakusudia kujenga kiwanda cha kusindika nyama, kiwanda cha kutengeneza vyakula vya mifugo, zote hizo ni ajira kwa watanzania.
Pesa yote haiendi nje inabaki humuhumu. Sasa nyie mnaosema ni tapel, mmeifanyia nini nchi hii? Wazo gani la kuinua jamii mmeanzisha na likakubaliwa? Kumlinga mr Kuku na Ontario siyo sawa. Hata Ontario, unapoteza pesa kwa kukiuka misingi na tamaa
Duuh msala sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii Bongo leo hii ukitoa hata Mil 100 na huna vithibitisho vya biashara inayoendana na pesa hizo msalaaa.
Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni.
Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa mashtaka yake leo 10/08/2020 na Wakili wa Serikali muandamizi mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo Godfrey Isaya. Akisomewa mashitaka yake, mshtakiwa anakabiliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi na 60/2020, kati ya mashitaka hayo 7 yapo ya kusimamia na kuendesha biashara haramu ya upatu, kupokea maingizo ya fedha za umma bila ya kuwa na leseni na kutakatisha fedha.
Mfahamu zaidi Mr. Kuku:
Mr. Kuku Farm ni aina mpya ya DESI?
Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku