Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

5 m pesa kidogo Sana hiyo kwa bwana kuku shamba ,

Watakuwa wamepiga nae mpunga na usije shangaa kesi kashinda...

Qnet on-line
 
Mkataba aliandikiwa million tatu na laki tano. Lakini yeye kalipa million 15
Mkeo naye jamani!!? Ndiyo maana hakutaka hata kukushirikisha, may alikuwa na makandokando. Nalijua wewe ndiye the best person of her life baada yake yeye mwenyewe au hata kabla yake yeye??? Dunia itakuwa tu inarudi ilikotorokewa hii, si kwa mambo hizi. Normally, mafyongo kama hazo yanafanywa na watu ambao ni unfortunate upstairs, ambapo staki kuamini sahibu wako yuko hivyo!?
 
Ni Kweli kabisa, sio kama Qnet, labda leseni kukosekana, ubunifu wa namna hii, serikali ingemchukua na kumsaidia au kuchukua mawazo yake ili iweze kutengeneza ajira kwa watanzania.Hali ni ngumu mno kwa watanzania ndio maana watu wanatapeliwa na hizi network marketing.
Kama khali ni ngumu watu wanapata wapi pesa za kutapeliwa?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mkeo naye jamani!!? Ndiyo maana hakutaka hata kukushirikisha, may alikuwa na makandokando. Nalijua wewe ndiye the best person of her life baada yake yeye mwenyewe au hata kabla yake yeye??? Dunia itakuwa tu inarudi ilikotorokewa hii, si kwa mambo hizi. Normally, mafyongo kama hazo yanafanywa na watu ambao ni unfortunate upstairs, ambapo staki kuamini sahibu wako yuko hivyo!?
Yaani, mkuu mi mwenyewe nlichoka, huyu ni bahati yake ni yatima, otherwise angenitambua. Sina namna inabidi nimsaidie.
 
Integrity ni nini? Ukiiona utaijua?
Unatumia neno halafu unaniuliza mimi maana yake? Nenda kwenye kamusi kama unataka kujifunza misamiati.

Mabenki ya Tanzania hayajapungukiwa na integrity kuzidi mabenki ya Ulaya na kwingineko. Kila uchwao tunasikia hukumu, lawama na laana dhidi ya mabenki makubwa duniani kwa makosa ya:

Predatory Lending
Overdraft Fees
Check Cashing Fees
Bond Price Manipulation
Currency Manipulation
Foreign Exchange Market Manipulation
Discriminatory Mortgages
Skyrocketing Adjustable-Rate Mortgages
Derivative Hedge Funds
Insider Trading
Qualified Mortgage Rule
Payday Loan Sharks
Credit Score Redlining
Investment Bank Ponzi Schemes
Lending Cost None-Transparency
Executive Compensation Scandals
Big Bank Bailout
Bank Product Cross-Selling
Aiding and Abetting Money Laundry
Sanctions Violation

-------------------------------------------------------------------

Hayo ni baadhi ya mauza uza ya ukwapuzi, unyonyaji na uharamia wa mabenki ya Ulaya na Wazungu yanayoripotiwa na kulalamikiwa kila uchwao. Usikurupuke kukejeli mabenki ya Tanzania, hujui unachokiongea

Akaunti yenye mabilioni ya Mr. Kuku imetwaliwa kwa kufata taratibu za kipolisi, kimahakama, kikurugenzi ya mashtaka na majadiliano na mhalifu.
 
Una parrot maneno usiyoelewa maana yake?

CEO wa zamani CRDB Kimei kasema anamuogopa sana Magufuli na atafanya lolote atakalotaka Magufuli.

Sasa hapo kwa kauli hiyo tu unaweza kusema hiyo benki ina integrity?
 
Serikali irudishie waliowekeza hizo fedha, vinginevyo ni ujambazi tu.
DPP anasema ni kinyume cha sheria kurudishia waathirika pesa zilozopatikana kwa biashara "upatu".
Eti Bwana ametoa bwana ametwaa.
 
Na zile ambazo waliwekeza wao nazo zimepatikana kwa upatu?
Yani wote wanachukuliwa kama kikundi cha uhalifu kilichokuwa kikifanya biashara haramu. Aijalishi walizitoa wapi ila ziliingia kwenye biashara haramu,wamiliwa wachukulie kama costs of doing business.
 
Una parrot maneno usiyoelewa maana yake?
Sijui maana zake ?

Yale yale ya kuniuliza kama najua maana ya integrity. Vitu unavyoona vigumu kwako unadhani na kila mtu vinamsumbua.

Predatory Lending
Mikopo fisadi ya benki za Ulaya. Riba kubwa, kuna kitu kinaitwa three digit APR, inakwenda mpaka 400%. Kuna kitu kinaitwa penalty interest, mkopo unapewa lakini unaanza na penalty kabla hujashindwa kulipa, kwa sababu tu huna historia nzuri ya kukopa. Kuna kitu kinaitwa loan flipping, wanakwambia tunakurekebishia mkopo ili kukupa ahueni, refinancing, lakini kumbe ule mpya ndio mbaya zaidi. Kifupi, benki zinakupa mkopo halafu zinaombea ushindwe kulipa.

Foreign Exchange Market Manipulation
Kinara wa ujangili huu duniani ni CITIBANK ambayo umesema baba yako alitaka kupeleka hela za serikali kwa sababu ya matatizo ya integrity ya NMB.

Ni pale mabenki ya wazungu yanapodhulumu wawekezaji kwa kutengeneza faida kubwa kwa kula njama kupandisha bei ya soko la sarafu la dunia na kupanga muda wa kuuza, unaoweza kuwa sekunde chache baada ya kununua kwa bei ya chini.

Overdraft Fees
Benki inakuruhusu utumie kadi ya benki au hundi kununua kitu wakijua hela huna ili baadae wakutandike tozo ya adhabu.

Check Cashing Fees
Vibanda vya mtaani na mabenki yanaporuhuwiwa na sheria ya mabenki kukupa hela ya cheki yako na makato makali

Bond Price Manipulation
Mabenki yananunua au yanaweka order za kununua hisa za serikali ili kuvutia wawekezaji wengine kununua, bei inapanda kwa sababu ya demand kuongezeka, mara ghafla wanauza bondi zote haraka kwa faida kubwa. Yani walinunua kuvutia wateja kama mchezo wa karata tatu Kariakoo. Mpigaji anakuwa na watu wake wanaojifanya wanafaidika na mchezo kumbe ni kuvutia wateja tu.

Currency Manipulation
Benki kuu inashusha thamani ya hela yake artificially kwa makusudi ya kuvutia wateja wa bidhaa za nchi yake na kufanya watu wake washindwe kununua vitu vya nje.

Discriminatory Mortgages
Mikopo ya ununuzi wa nyumba inatolewa kwa maeneo fulani tu au kwa tabaka fulani la rangi au kipato.

Adjustable-Rate Mortgages
Bqdala ya kuwa na fixed-rate mortgage wao wanakubadilishia na kukuongezea viwango vya riba.

Derivative Hedge Funds
Benki ya uwekezaji inanunua hiari ya kununua hisa, "options, " au derivatives. Thamani ya hisa ikipanda anatumia fursa ya kuzinunua, ikishuka thamani hanunui, kwa hiyo hapotezi hata kama hisa zimeporomoka thamani kwa sababu ashajilinda, hedging. Na akinunua hisa ananunua kwa kutumia hela ya mfuko ambayo si yake, hedge fund. Tatizo la hedge funds ni hela za kwenye makaratasi na kwenye computer, zenye mianya mingi ya udanganyifu

Insider Trading
Watu wanapeana michongo ya ndani kuhusu muelekeo wa kifedha na kujipa advantage juu ya wawekezaji wegine

Payday Loan Sharks
Unapokuwa huwezi kusubiri mshahara hawa maharamia wanakutangulizia kamshiko halafu mshahara ukija wanaulamba wao.

Credit Score Redlining
Jamii inatengwa na mikopo kwa sababu ya namba uliopachikwa inayosema huna historia nzuri ya kukopa kopa.

Investment Bank Ponzi Schemes
Upatu wa mabenki ya uwekezaji.

Lending Cost None-Transparency
Wanakuficha gharama halisi za kukopa.

Executive Compensation Scandals
Wakurugenzi wa mabenki wanajipa mishahara ya kukufuru bila kujali utendaji wao au hali za uchumi au za wafanyakazi wao.

Big Bank Bailout
Benki zinaharibu uchumi halafu zinapewa msaada wa pesa ya walipa kodi

Bank Product Cross-Selling
Unataka kununua nyumba kwa mortgage wao wanakuchomekea na bima ya mkopo, kwa mfano. Kitu ambacho wewe hukutaka.

Aiding and Abetting Money Laundry
Mabenki yanahudumia vinara wa dunia wa madawa ya kulevya, majambazi ya utakatishaji fedha, ma akaunti ya serikali ovu nk

Sanctions Violation
Mabenki yanavunja kwa makusudi vikwazo na maazimio ya Umoja wa Mataifa dhidi ya nchi zilizohukumiwa adhabu mbali mbali.
 
Kukuuliza integrity ni nini ni kuona integrity ni kitu kigumu?

Hizi fikra za logical non sequitur zinaonesha hatuwezi kuelewana..

Wewe unakwenda kwa kukariri na reflex action kama guluguja.

How is a Socratic inquiry possible here?

I don't think you are woth engaging.

I want to be selective in the people I engage, so I do not waste my time with every Flat Earth Society nutjob up in this piece.

I do not want stupid protracted retorts with airheads stuck on shirts full of old farts.

You do not seem to have the wherewithal to simply follow an intelligent discussion logically.

Why should I waste my time engaging you?
 
Nyie endeleeni na maisha yenu kama kawaida. Swala la hela mtarudishiwa tu Mungu akipenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila DPP anatia fora kwa "kuzikusanya"[emoji1787][emoji1787]

Siku Extrovert akigundua una mtonyo wa uhakika kwenye akaunti anapiga hodi kwako[emoji14][emoji14]

Kuna watu Kama akina mzee Rugemalira wako ndai Hadi Leo wakiwa na portfolio zenye bilions of TSh wamegoma kubagain
 
bado haingii akilin kulipa 5m then bado Pia mahakama hiyo, imemuamuru fedha sh. bilioni 5.4 ambazo ziko benki ya CRDB kwenye akaunti ya mshtakiwa huyo kwenda kwenye akaunti ya Mkurugenzi ya Mashitaka nchini( DPP) iliyoko benki Kuu ya Tanzania( BoT).
what the point ya kulipa izo faini
wanasheria msaada kidogo kwa hili
 
Mr kuku leo hii ameshindwa lipa faini ya 5 million?

Hata kama wamepita na hizo za kwenye account, ina maana hakuwa na upande wa pili.
Kwa nini wasingekata sh mil5 kwenye hizo ac zake kama fidia wakati wa kuzitaifisha na kumwacha zake aende huru?
NB;
Wadai deni lao wajiandae tu kisaikolojia halitakua tofauti na wastaafu wa jumuiya ya east Afrika au wale wakulima wa korosho kusini.
 
Back
Top Bottom