Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Yule gwiji wa mama nakufa mteja namba moja wa liquid pub wiki ameangusha birthday party nyumbani kwake huku mastaa mbalimbali wa bongo wakihudhuria.
Siku ya juzi huduma zilisimama pale liquid pub na kuhamishiwa nyumbani kwa piere kwenda kusherekea siku yake ya kuzaliwa aidha mgeni rasmi alikuwa ni diwani wa temeke
Ikumbukwe mzee wa likwid ambaye kwa sasa ni antena bila king'amuzi alipata dhahama ya kuvunjika mguu wakati akibarizi na wanywaji wenzake wa bar pendwa ya liquid pub
Tuendelee kumuombea uponaji wa haraka kwani pengo lake li wazi sasa