financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , chizi yulee[emoji28][emoji28]Huyo ndio piere konki antena bila king'amuzi teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , chizi yulee[emoji28][emoji28]Huyo ndio piere konki antena bila king'amuzi teh
#mama nakufaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] , chizi yulee
Hahaaa, eti," Leo ndyo Leo asemaye muongo aah kesho".......[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji28][emoji28]#mama nakufaaaaa
Muda si mrefu utasikia anatoka na wolper
Konki liquiiiiiid konki fayaa😁😁😁😁"Liquid itakuwa juu kabisa, itafika mbinguni kabisa mawinguni, liquiiidiiii"
😀😀😀😀😀
mi ndo ningekua mmiliki wa Liquid huyu jamaa ningetafuta hata ka vitz used nikampatia pierre mana kaitangaza sana hiyo pubYule gwiji wa mama nakufa mteja namba moja wa liquid pub wiki ameangusha birthday party nyumbani kwake huku mastaa mbalimbali wa bongo wakihudhuria.
Siku ya juzi huduma zilisimama pale liquid pub na kuhamishiwa nyumbani kwa piere kwenda kusherekea siku yake ya kuzaliwa aidha mgeni rasmi alikuwa ni diwani wa temeke
Ikumbukwe mzee wa likwid ambaye kwa sasa ni antena bila king'amuzi alipata dhahama ya kuvunjika mguu wakati akibarizi na wanywaji wenzake wa bar pendwa ya liquid pub
Tuendelee kumuombea uponaji wa haraka kwani pengo lake li wazi sasa
View attachment 968607
Uhasibu kurasini au?Yeah
Mama nakufaaa'Antenna bila kig'amuzi' hahaha hahahaha hahahaha....anachekesha sana.
Kweli kabisa ukitegemea cheti utakufa njaa uyo ndio nkoki fireSoon atalamba shavu kama balozi wa kilevi .
Dr shika alikula shavu Biko sports
Bongo ukisubiri acknowledgment kwa kutumia career yako utasubiri sana bora ujilipue tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wazo zurimi ndo ningekua mmiliki wa Liquid huyu jamaa ningetafuta hata ka vitz used nikampatia pierre mana kaitangaza sana hiyo pub
Uhasibu kurasini au?
Nasikia ana miaka 41 hana mke wala mtoto na mwenyewe anasema umri bado? Hivi ana kaz gan huyu mzee
Hahaha haha au bibie SepengaMuda si mrefu utasikia anatoka na wolper
Hao mastaa waliofurika wako wapi? hamna picha zao wala hata video?