Mr Likwid Piere Konki afanyiwa birthday mastaa wafurika

Mr Likwid Piere Konki afanyiwa birthday mastaa wafurika

Ila ilikuwa kiheshima sana, hata yeye alikuwa ananijibu kiheshima tu, na alielewa namaanisha.

Halafu mimi nilikuwa nahisi ni mhudumu ujue, ila respect sana yule Dada. Nakumbuka first time hapo alikuwa kwenye kitengo cha cocktail au kulikuwa na whisky wanaipromote.
Halafu ile baa haina maajabu yoyote ila basi tu
 
""asemaye muogo kesho[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3]atari fire, jaman jaman jaman, liquid imezaliwa upya tena na kuchanua[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji16]
"Liquid itakuwa juu kabisa, itafika mbinguni kabisa mawinguni, liquiiidiiii"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji28] chombo ya piere konki
Mimi nilijua ni muhudumu, na kilichonivutia kwake ni ule weusi wake, huwa ndo ugonjwa wangu zile rangi.

Uzuri sijaonesha popote kama nimemchukuliaje, kila kitu kilikuwa kawaida, hadi nikakata tamaa.

Juzi nilivyoenda ndo nikamwambia anisamehe, sikujua kama yeye ndo bosi maana siyo vizuri mbele ya wafanyakazi wake, akasema nisijali.

Yaani hadi nilicheka sana aisee.
Tumuite shemeji tu[emoji28]
IMG_20181216_104016.JPG
 
Kumbe huwa panahappen. Mm huwa napapitaga tu napoenda zangu darajani kuvuka. Naendaga kumalizia nolasko
pako poa sana
at least watu wana class flani
nolasco usinambie,watoto wa kibada kibao halafu vibaka ***** zao,mademu wenyewe wa ovyo ovyo tu
 
pako poa sana
at least watu wana class flani
nolasco usinambie,watoto wa kibada kibao halafu vibaka ***** zao,mademu wenyewe wa ovyo ovyo tu

Nolasco! Nilishaenda na jamaa akanusurika kuibiwa simu na demu, hahaha shida sana pale.

Pabovu sana.
 
Back
Top Bottom