Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
- Thread starter
- #41
Ni multiple hana kazi moja ana nyingi
Simjui hata robo...
kazi zake anafanyia wapi!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simjui hata robo...
kazi zake anafanyia wapi!??
Nasikia ana miaka 41 hana mke wala mtoto na mwenyewe anasema umri bado? Hivi ana kaz gan huyu mzee
Sijui upo dunia ipi weweYaani hata sijaelewa kitu kama unaitangaza liquid pub au unatujulisha kuwa mkuu alitafuna ka keki au nini maudhui ya uzi wako!?
Ujue koroshow bado haijafka hata katikati sasa na wewe unatuletea mambo ya kimiminika pab
Dunia zetu ni tofauti mkuu! We baki na dunia yako na mm niache kwenye ulimwengu wangu niliko ndo inaleta maana ya maisha mkuu! Wote hatuwezi kufanana hata iwejeSijui upo dunia ipi wewe
Ni dalali wa Furniture maeneo ya Keko huko Dar es salaamSimjui hata robo...
kazi zake anafanyia wapi!??
Ni dalali wa Furniture maeneo ya Keko huko Dar es salaam
Hii ndio Tz bana
duhni dalali wa furniture.
Yap yap mkuuKumbe ana kazi bomba sana
naunga mkono hoja.hauko peka yako mkuu,hii ishu naisikia juujuu ila sijataka kuifuatilia kabisa nataka inipite juujuu pia.Dunia zetu ni tofauti mkuu! We baki na dunia yako na mm niache kwenye ulimwengu wangu niliko ndo inaleta maana ya maisha mkuu! Wote hatuwezi kufanana hata iweje
Sasa umaarufu wote huu wa nini!??Ni dalali wa Furniture maeneo ya Keko huko Dar es salaam
Sasa umaarufu wote huu wa nini!??