Mr Likwid Piere Konki afanyiwa birthday mastaa wafurika

Yule Dada nilisikikiza interview yake kimtindo yuko smart ...anachagua ya kuongea!!

Kwa mujibu wa ile interview ni kwamba jamaa siyo ndugu yake wa damu, ila imetokea tu.

Mara ya kwanza kwenda Liquid nilimtongoza yule dada, aisee akanijibu tu vizuri, nikawa naenda enda pale ila sikuambulia kitu, juzi juzi naangalia ile interview kwa MillardAyo ndo nikajua kumbe ndo Tajiri.

Ilibidi niende nikamwambia anisamehe tu sikujua, akasema haina shida, nilikuja kushangaa naletewa bucket naambiwa imetoka kwa bosi, bahati nzuri gage ilikuwa imefika mwisho, nikanywa moja tano nikamwambia nitunzie.
 
Usiwe unaparamia mkuu

Ila ilikuwa kiheshima sana, hata yeye alikuwa ananijibu kiheshima tu, na alielewa namaanisha.

Halafu mimi nilikuwa nahisi ni mhudumu ujue, ila respect sana yule Dada. Nakumbuka first time hapo alikuwa kwenye kitengo cha cocktail au kulikuwa na whisky wanaipromote.
 
Mwanaume unamkatazaje asiwe anaparamia
Unajua kama kuna njemba mpaka leo zinamfukuzia mke wa mengi ingawa wanajua kaolewa na tajiri

Mimi nilijua ni muhudumu, na kilichonivutia kwake ni ule weusi wake, huwa ndo ugonjwa wangu zile rangi.

Uzuri sijaonesha popote kama nimemchukuliaje, kila kitu kilikuwa kawaida, hadi nikakata tamaa.

Juzi nilivyoenda ndo nikamwambia anisamehe, sikujua kama yeye ndo bosi maana siyo vizuri mbele ya wafanyakazi wake, akasema nisijali.

Yaani hadi nilicheka sana aisee.
 
[emoji28][emoji28]

Ila ndio uanaume huo sio mbaya
 
Atakutunuku huyo soon usiache kwenda
 
Atakutunuku huyo soon usiache kwenda

Hahaha, nilivyomwambia nimekoma alicheka sana, uzuri wenyewe nilikuwa najifanya eti nampa tip na nini anachukua.

Kwa hiyo juzi kafanya kama anarudisha baada ya Mimi kujua ndo Tajiri mwenyewe.
 
Back
Top Bottom