MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Hatari faya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bar ni ya mdogo wake Lilian Gumbo, yeye ni Peter Gumbo!mi ndo ningekua mmiliki wa Liquid huyu jamaa ningetafuta hata ka vitz used nikampatia pierre mana kaitangaza sana hiyo pub
OkBar ni ya mdogo wake Lilian Gumbo, yeye ni Peter Gumbo!
Yule Dada nilisikikiza interview yake kimtindo yuko smart ...anachagua ya kuongea!!Bar ni ya mdogo wake Lilian Gumbo, yeye ni Peter Gumbo!
Yule Dada nilisikikiza interview yake kimtindo yuko smart ...anachagua ya kuongea!!
Kwa mujibu wa ile interview ni kwamba jamaa siyo ndugu yake wa damu, ila imetokea tu.
Mara ya kwanza kwenda Liquid nilimtongoza yule dada, aisee akanijibu tu vizuri, nikawa naenda enda pale ila sikuambulia kitu, juzi juzi naangalia ile interview kwa MillardAyo ndo nikajua kumbe ndo Tajiri.
Ilibidi niende nikamwambia anisamehe tu sikujua, akasema haina shida, nilikuja kushangaa naletewa bucket naambiwa imetoka kwa bosi, bahati nzuri gage ilikuwa imefika mwisho, nikanywa moja tano nikamwambia nitunzie.
Kuna clip humu alipandishaga mshana, Ben kinyaiya kajirekodi hayo maneno akiwa bar kalewa? So nani mwanzilishi kati ya piere na kinyaiya?Mzee Wa "mamaaa aiiiiiii, nakufaaaaa," anachekesha sana sura yake sasa liquid tupuu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mwanaume unamkatazaje asiwe anaparamiaUsiwe unaparamia mkuu
Ben kaigaKuna clip humu alipandishaga mshana, Ben kinyaiya kajirekodi hayo maneno akiwa bar kalewa? So nani mwanzilishi kati ya piere na kinyaiya?
OK nimekupata jamaa nyota yake inawaka mpaka wasanii waliojifia wanafufuka kwa kiki zake.Ben kaiga
Usiwe unaparamia mkuu
Mwanaume unamkatazaje asiwe anaparamia
Unajua kama kuna njemba mpaka leo zinamfukuzia mke wa mengi ingawa wanajua kaolewa na tajiri
Hawaogopi!?Mwanaume unamkatazaje asiwe anaparamia
Unajua kama kuna njemba mpaka leo zinamfukuzia mke wa mengi ingawa wanajua kaolewa na tajiri
Ila ndio uanaume huo sio mbayaMimi nilijua ni muhudumu, na kilichonivutia kwake ni ule weusi wake, huwa ndo ugonjwa wangu zile rangi.
Uzuri sijaonesha popote kama nimemchukuliaje, kila kitu kilikuwa kawaida, hadi nikakata tamaa.
Juzi nilivyoenda ndo nikamwambia anisamehe, sikujua kama yeye ndo bosi maana siyo vizuri mbele ya wafanyakazi wake, akasema nisijali.
Yaani hadi nilicheka sana aisee.
Atakutunuku huyo soon usiache kwendaMimi nilijua ni muhudumu, na kilichonivutia kwake ni ule weusi wake, huwa ndo ugonjwa wangu zile rangi.
Uzuri sijaonesha popote kama nimemchukuliaje, kila kitu kilikuwa kawaida, hadi nikakata tamaa.
Juzi nilivyoenda ndo nikamwambia anisamehe, sikujua kama yeye ndo bosi maana siyo vizuri mbele ya wafanyakazi wake, akasema nisijali.
Yaani hadi nilicheka sana aisee.
Mzee wa likwidi!!
Woga sio nature yetu[emoji28][emoji28]Hawaogopi!?
Atakutunuku huyo soon usiache kwenda