Mr Likwid Piere Konki afanyiwa birthday mastaa wafurika

Mr Likwid Piere Konki afanyiwa birthday mastaa wafurika

Yule gwiji wa mama nakufa mteja namba moja wa liquid pub wiki ameangusha birthday party nyumbani kwake huku mastaa mbalimbali wa bongo wakihudhuria.

Siku ya juzi huduma zilisimama pale liquid pub na kuhamishiwa nyumbani kwa piere kwenda kusherekea siku yake ya kuzaliwa aidha mgeni rasmi alikuwa ni diwani wa temeke
Ikumbukwe mzee wa likwid ambaye kwa sasa ni antena bila king'amuzi alipata dhahama ya kuvunjika mguu wakati akibarizi na wanywaji wenzake wa bar pendwa ya liquid pub


Tuendelee kumuombea uponaji wa haraka kwani pengo lake li wazi sasa

View attachment 968607
mi ndo ningekua mmiliki wa Liquid huyu jamaa ningetafuta hata ka vitz used nikampatia pierre mana kaitangaza sana hiyo pub
 
[emoji28][emoji28]
Soon atalamba shavu kama balozi wa kilevi .

Dr shika alikula shavu Biko sports

Bongo ukisubiri acknowledgment kwa kutumia career yako utasubiri sana bora ujilipue tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa ukitegemea cheti utakufa njaa uyo ndio nkoki fire
 
Back
Top Bottom