Mr & Mrs Zimbwe Jr katika pozi la Familia

Hata kama usemayo ni kweli,basi shida alikuwa nazo kabla ya ndoa maana kaolewa juzi juzi tu huyu,kwa nidham ya zimbwe naamini ndoa iko good
Unaeza kuwana nidham ila chumbani ikawa vinginevyo
 
Ila jf kuna wachawi sana. Watu sijui wanajikutaje. Imebidi ni zoom Mara 6 hiyo picha na sijaona kasoro ya huyu Dada. Punguzeni kuumbua kwa kuwa "HAUMBUI HASIYEWEZA KUUMBA"
 
Ngoja nikae kimya, maana nilichotaka kusema Kuna waliokisema wameishia kutukanwa.... Ili nisitukanwe ngoja nami nimalize kwa kusema wife wa Zimbwe ni pisi Kali ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…