Mr. Mshana popote ulipo, tafadhali saidia hili

Mr. Mshana popote ulipo, tafadhali saidia hili

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
NDUGU

Kwanza nikupe pole na majukum yako ya kila siku nami binafsi nasema asante mungu kwa kuendelea kunilinda na mpaka mda huu nipo wa buheri wa afya ya kutosha na naendelea na majukum yangu kila siku mkuu

Dhumuni langu hasa kwa uzi huu kwako ni moja yahani kutaka ufafanuzi na ieleweke sio kawaida yangu kuanzisha uzi kwa mtu binafsi but ni majuzi kati tu nilikuuliza swali kwamba we ni nabii ? Na nikaweka maneno ya uzi mmoja ambao uliutoa ukisema watu waliopigwa risasi na kupona siku moja huja kuwa watu maharufu na kua watu wa juu sana .Na kwasababu iyo jua hua nakufatilia kabla hata kwa sasa kwa Makala zako mkuu

so swali langu ni dogo au madogo
1. nini maana ya kuku kuanza rangi yangi yake n.k namanisha nimemuona Lissu kwenye picha mitandaoni amekamata kuku mkumbwa mwenye rangi nyekundu lakini pia watu alio nao kama pia hawajavaa viatu huyo kuu rangi yake kama ile ya zawadi ya kiongonzi wa nchi aliyopewa kwa mapenzi mema kutoka kwa mzee wetu mmoja uko lindi na ni mzuri tu ila rangi zinaendana but swala hapa why wanaompa lissu kuku kama huyo naamanisha kwa rangi wamevua viatu ,ndo swali langu au picha ya lissu imechakachuliwa.

Shukrani
 
Atakuja kukujibu!!huo ni ulozi!wekundu wa kuku ngombe ni muhimu katika kafara za mafanikio katika mishe!!
 
Kwa style hii kuiondoa madarakani ccm ni ndoto. Wapiga kura ni aina ya mleta mada kila mtu kwake ni nabii
we jamaa kila siku wafkilia siasa toa mawazo sio kila hapa ni siasa we vipi , aliekwambia nchi hii ya chama kimoja nani na kama mlijua haipo siku ccm yaweza toka madarakani mlianzisha vyama vingi kwa sababu zipi?
 
Povu lote hili halafu hakuna point hili ni jukwaa la siasa.

Mie sio jamaa. Acheni kuabudu binadamu wenzenu

Lissu yuko makini atumii uchawi kama yule jambazi mkuu mzee wa kuozesha watu kwa jogoo
 
Povu lote hili halafu hakuna point hili ni jukwaa la siasa.

Mie sio jamaa. Acheni kuabudu binadamu wenzenu
umelazimizwa soma,mshana jr anajitambua na binadam tumepewa vipawo tofauti so mimi nimeomba msaada kwake yakuuma nini mkuu kuwa na uvumilivu , kama mtu ajaomba ushauri kwako jua anajua huwezi tatutua shida yake ,hivyo subilili wakati wako ukifika utaombwa ushauri why huje na maneno ya kihuni et povu
 
Povu lote hili halafu hakuna point hili ni jukwaa la siasa.

Mie sio jamaa. Acheni kuabudu binadamu wenzenu
Wewe jamaa , kwanini unam stress mwenzako ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nenda PM. Acha kujishogodoa hapa. Kuandika kwenyewe hujui pheeew

Back
Top Bottom