Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mr.Nice akaunti yake ilishawahi kugonga 1 BILION........leo ndio anaishi hivi inasikitisha sanaMr Nice alivyokuwa anagawa pesa. Ndio ana kigari ki premio ole model cha mil 5?
Afu ana kibanda kati kati ya nyumba za watu.
Hii ni aibu
Inabidi tutafute maana mpya ya neno "utajiri"
Pombe zinamzeesha.Mama yake anaonekana kijana kuliko yeye
love thé love or hâte thé love.....
Ujumbe umejificha hapo kwenye familia yangu ilishajipanga
Sisi wa mjini tunamjua Nice, Hiyo Nyumba alikua na uwezo wa kuwa nayo hata ghorofa hapo zamani, ila hana nyumba ndugu yangu alikua amepanga ile nyumba opposite na Ambiance Afrika sana enzi ana hela na kama miezi mitatu tu iliyopita nilimuona Kinondoni hana hata usafiriWote wanaobisha wana akili za kimaskini.
Na haujui ni jinsi gani fikra za kudhani mwenzako hawezi kufanya jambo fulani ina athiri destiny pia ya maisha yako.
Ni sawa sawa na mtu kuwa unafikiria mafanikio yana hati miliki kitu ambacho sio kweli.
Kwenye kutafuta pesa hakuna hati miliki,,, utapata kadri unavotafuta na kadri unavoisumbua akili yako.
Period
Sent using Jamii Forums mobile app