Mr Nice awatolea povu wanaomsema vibaya aanika utajiri wake insta

Mr Nice awatolea povu wanaomsema vibaya aanika utajiri wake insta

Hakuna mchaga mjinga duniani.. Hiyo aliyoonesha Nice hapo kitu cha kawaida hata kwake..

Kubisha mtu kutokuwa na nyumba kama hiyo ni akili za ki maskini kabisa.

Maana nyumba kama hiyo mimi hata M 100 naifyatua.. Sasa M 100 kwa mtu mchacharikaji hapa na pale ndani ya miaka 3 kwanini usifanye mambo kama hayo?

Acheni akili za kimaskini.. Mambo madogo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote wanaobisha wana akili za kimaskini.

Na haujui ni jinsi gani fikra za kudhani mwenzako hawezi kufanya jambo fulani ina athiri destiny pia ya maisha yako.

Ni sawa sawa na mtu kuwa unafikiria mafanikio yana hati miliki kitu ambacho sio kweli.

Kwenye kutafuta pesa hakuna hati miliki,,, utapata kadri unavotafuta na kadri unavoisumbua akili yako.

Period

Sisi wa mjini tunamjua Nice, Hiyo Nyumba alikua na uwezo wa kuwa nayo hata ghorofa hapo zamani, ila hana nyumba ndugu yangu alikua amepanga ile nyumba opposite na Ambiance Afrika sana enzi ana hela na kama miezi mitatu tu iliyopita nilimuona Kinondoni hana hata usafiri
 
Back
Top Bottom