Mr Nice awatolea povu wanaomsema vibaya aanika utajiri wake insta

inaonyesha ulivyo mjinga hiyo nyumba hata milioni 30 haifiki hiyo milioni 100 utaisikia redioni tu
 
Ukabila kila kitu, hakuna kabila lisilo na wajinga, labda wachaga wa huko unakokaa ila nilipo wapo wapuuzi kibao
 
Kaandika kwa kutumia maneno ya kike sana,napata shida sana na huyu jamaa kama mamikunjo anayo.Mtoto wa kiume huwezi andika mfyuuuuuuuuuuuuuuu au kuongea hivyo

Ila dah bata kavaa nailoni iliniingia sana wakati huo🙂🙂
 
Mnawatazamaga watu juu-juu alafu wakifunguka mnaishia kuumia roho namna hii.

Wivu hukaa kifuani kwa mtu mjinga.
 
Bi mkubwaaa.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Kwanini anahangaika na watu ambao hata hajawahi kuwaona? Hana sababu ya kuonesha nini anamiliki au nini hana [HASHTAG]#poornice[/HASHTAG]
 
Na utakuta yeye anaishi kwa shemeji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningeshangaa kama angalia wa kwanza filisika kua kuweza kua na usimamizi mzuri kwa mtu mwenye kipaji cha mziki bila ya kuwa na usimazi wa kutosha ni changamoto sana. Jamaa alikosa mwongozo mzuri na yeye sio wa kwanza kuliko kumsema ni bora wataalamu wa masuala ya utawala wakawa wanawapa ushauri wasanii, wachezaji na wengineo. Sema wataalamu muache kuwapiga kwa mikataba ya kujinufaisha nyinyi kwa sana ndio maana wasanii hawataki kuwafuata iwe win to win situation
 
Bora alivyoonyesha mali zake watu walizidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…