laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
inaonyesha ulivyo mjinga hiyo nyumba hata milioni 30 haifiki hiyo milioni 100 utaisikia redioni tuHakuna mchaga mjinga duniani.. Hiyo aliyoonesha Nice hapo kitu cha kawaida hata kwake..
Kubisha mtu kutokuwa na nyumba kama hiyo ni akili za ki maskini kabisa.
Maana nyumba kama hiyo mimi hata M 100 naifyatua.. Sasa M 100 kwa mtu mchacharikaji hapa na pale ndani ya miaka 3 kwanini usifanye mambo kama hayo?
Acheni akili za kimaskini.. Mambo madogo hayo
Sent using Jamii Forums mobile app