Mr Nice awatolea povu wanaomsema vibaya aanika utajiri wake insta

Kweli kabisa

"Life+time"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatafuta kiki ana kibanda sio nyumba
aisee weka ya kwako hapa! si ajabu unaishi kwa shemeji yako...kujenga si kazi ya mchezo muwe mnaheshimu nyumba za watu ambazo mnaita vibanda! shame on u..
 

Jamaa hayuko makini kabisa, hata kudanganya kashindwa, eti familia ilishajipanga kitambo! Familia tena [emoji848]
Mtu mzima kama yeye akasifie vy kwao badala ya vyake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee kumbe huo ni utajiri
 
Mnaojua tafsiri ya neno utajiri tunaomba msaada wenu, naona huku tunakoelekea mtu akiwa na vitu vyake kadhaa ataviita utajiri wake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muulize yule aliyetoa tafsiri ya kiwanda, hata ukiwa na nini sijui ila nne basi una kiwanda.......dadeki
 
Kaandika kwa kutumia maneno ya kike sana,napata shida sana na huyu jamaa kama mamikunjo anayo.Mtoto wa kiume huwezi andika mfyuuuuuuuuuuuuuuu au kuongea hivyo

Ila dah bata kavaa nailoni iliniingia sana wakati huo🙂🙂

Mkuu hata mimi nimepata tabu sana kuamini kuwa aliyeandika ni mwanaume
...mfyuuuu..... inaandikwa na mwanaume? Au kahama jinsia?
 
Si uweke yako ma wewe tuone


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muulize yule aliyetoa tafsiri ya kiwanda, hata ukiwa na nini sijui ila nne basi una kiwanda.......dadeki

Yule wa vyerehani vinne alivuta ugoro kabla hajaongea
 
Kwa hiyo moja kati ya Project zake ni kufuga kuku wa kienyeji?!
 
Duuuh,nakumbuka mwaka 2015 nilimkuta bar moja inaitwa usbon,iko geita!Jamaa akaimba nyimbo 3 kwa kununuliwa bia 4!Alikuwa kachoka mbaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…