Mr. Nice hakujua mziki ni Upepo tu ulimpitia

Ulishawahi kukutana na mtu ambaye humfahamu halafu ghafla anaanza kukutandika ngumi na mateke bila hata kukwambia kosa ninini? Mtoa mada umemvamia Mr Nice vibaya sana. Ungetwambia angalau chanzo cha ugomvi wenu
 
Ulishawahi kukutana na mtu ambaye humfahamu halafu ghafla anaanza kukutandika ngumi na mateke bila hata kukwambia kosa ninini? Mtoa mada umemvamia Mr Nice vibaya sana. Ungetwambia angalau chanzo cha ugomvi wenu
Hajui kuimba.
 
Hajui kuimba.
Mkuu, katika dunia hii watu wasiojua kuimba ni wachache sana. Zamani hata watoto walitulia migongoni mwa mama zao wakiwa shambani ama kwenye shughuli zinazowachosha wao (kinamama) na watoto wao mgongoni kwakuimbiwa tu. Labda shida ni utunzi na namna ya kuwasilisha huo wimbo wenyewe. Ndio maana siku hizi cover zinafunika original
 
Kwamba hujui mziki hubadilika kutokana na Muda ??


Kwa wakati ule ,huo ndo ulikua mziki unaobamba .



Funzo nikwamba, Unapoona umefanikiwa achana na mambo ya K, hakikishia unapigana kubakia au kusongo zaidi ya hapo ulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kijana, kwenu hakuna wazee? Unapata wasaa wa kuongea nao na kujua maisha waliyoishi? Ungejifunza namna ya kuheshimu 'enzi' walizoishi waliotangulia!

Enzi hubadilika, heshimu enzi za Mr. Nice, sisi tuliokua nae tunaelewa namna alivyotufariji kwa namna ya pekee na mirindimo yake!
 
Miaka 30 ijayo watakuja watu pia watasema Diamondi alikuwa hajui mziki .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna nyimbo hata moja ya mr nice niliwaigi kuisikliza kwa hiari zaidi ya kuisikia ikipigwa sehem
 
Kwa miaka ile wengi tulimuelewa sanaa kuliko hata hizo jejee zenu na ndie alikua super star east africa. Sema teknolojia ilikua chini sana! Hata hao kina Jeje sijui Uno wakati wao ukipita wataonekana hovyo tu
 
 

Attachments

  • Screenshot_20230323-035703~2.png
    238.5 KB · Views: 8
Huyu alichezea nafasi

Bonge la mshamba alafu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…