cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu alikula bure bure papuchi yako nini?Hawezi kunilipia chochote Nice, ni mzugaji
Mkuu, katika dunia hii watu wasiojua kuimba ni wachache sana. Zamani hata watoto walitulia migongoni mwa mama zao wakiwa shambani ama kwenye shughuli zinazowachosha wao (kinamama) na watoto wao mgongoni kwakuimbiwa tu. Labda shida ni utunzi na namna ya kuwasilisha huo wimbo wenyewe. Ndio maana siku hizi cover zinafunika originalHajui kuimba.
Hahahaaha Dudubaya na ID nyengine[emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu!
Leo nilikua YouTube kutazama nyimbo za Mr Nice!, jamaa hamna kitu, makelele mengi kama mlevi.
Arudishe bando, mpuuzi yule, nadhani Kameta ndiye alitakiwa amiliki nyimbo, sio hili li jamaa, wimbo wa first lady linabweka bweka mbele ya demu mzungu.
Ndiyo maana umepotea! Majivuno tu. Umemponza hadi Alikiba, anajikuta msanii wa ulimwengu.
Pesa zilishaisha.
Miaka 30 ijayo watakuja watu pia watasema Diamondi alikuwa hajui mziki .Wakuu!
Leo nilikua YouTube kutazama nyimbo za Mr Nice!, jamaa hamna kitu, makelele mengi kama mlevi.
Arudishe bando, mpuuzi yule, nadhani Kameta ndiye alitakiwa amiliki nyimbo, sio hili li jamaa, wimbo wa first lady linabweka bweka mbele ya demu mzungu.
Ndiyo maana umepotea! Majivuno tu. Umemponza hadi Alikiba, anajikuta msanii wa ulimwengu.
Pesa zilishaisha.
Wakuu!
Leo nilikua YouTube kutazama nyimbo za Mr Nice!, jamaa hamna kitu, makelele mengi kama mlevi.
Arudishe bando, mpuuzi yule, nadhani Kameta ndiye alitakiwa amiliki nyimbo, sio hili li jamaa, wimbo wa first lady linabweka bweka mbele ya demu mzungu.
Ndiyo maana umepotea! Majivuno tu. Umemponza hadi Alikiba, anajikuta msanii wa ulimwengu.
Pesa zilishaisha.
Live band the legend Mr. Nice ft Fabrice