Mr. Nice: Harmonize usirudie tena kuiba kazi yangu bila ridhaa yangu

Mr. Nice: Harmonize usirudie tena kuiba kazi yangu bila ridhaa yangu

Ukiona msanii anachukua vionjo vya wasanii wenzake..ujue pumzi imekata sema ni kufosi kingi ili aendelee kuwepo..tunaita kutembelea nyota.

#MaendeleoHayanaChama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ni wasanii wengi wanachukua vionjo zaa nyimbo za wenzao yani ukianza kufuatilia utagundua karibia wote sema gundu likianza kukuandama kila mtu atakusema wewe yani naona Harmonize toka atoke WCB sijui ni kampeni sijui ni mkosi ila wanamuandama
 
Mbili ni chache?
Hadi sasa hiv diamond ana ngoma Si chini ya 90 za kwake alafu kufanya sample 2 tu ndo useme nyingi? Tutasema nyingi kwa msanii Kama Mario, harmonize, Lavalava ambao hawana muda mrefu kwenye game alafu hawana hit song nyingi so energy wanayo Kama watasample tutawashaa sana.
 
Ukiona msanii anachukua vionjo vya wasanii wenzake..ujue pumzi imekata sema ni kufosi kingi ili aendelee kuwepo..tunaita kutembelea nyota.

#MaendeleoHayanaChama.

Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja nikusaidie kitu!. ile nyimbo ya Jay Z na Kanye West waliyoiita ORTIS ni nyimbo ya zamani ya Msanii anaitwa ORTIS REDINGTON!. Usirudie kusema kufanya sample ni pumzi kukata!.
Haya endeleeni ni Team zenu!.
 
Hivi jivamaa havijui kitu..

Ishu ni uwe tu umefuata utaratibu

Dj Khalid -Wild thoughts

Chris Brown-Undecided

Hizi zote pia ni sampling

Its a win-win for Mr Nice na Harmonize. Watu watadownload kufanya comparison. Pesa inaingia. Wajinga wanatukana mitandaoni.
 
ngoja nikusaidie kitu!. ile nyimbo ya Jay Z na Kanye West waliyoiita ORTIS ni nyimbo ya zamani ya Msanii anaitwa ORTIS REDINGTON!. Usirudie kusema kufanya sample ni pumzi kukata!.
Haya endeleeni ni Team zenu!.
Nyimbo nyingi zinazotoka lazima sampling au kuchukua mstari konzi mmoja wa nyimbo za zamani.
 
Si kweli. Sampling kwenye muziki ni kitu cha kawaida sana.

Hivi Jay- Z alikuwa amekata pumzi alivyofanya ile '03 Bonnie and Clyde yenye vionjo vya me and my girlfriend ya pac?
Ni vile tu msanii amevutiwa na kionjo cha kazi ya mwenzie. Suala ni kufuata utaratibu.

I moved your cheese!
Lakini Gigga hakukurupuka alifuata sheria zote za hakimiliki kwa uongozi wa 2Pac na record label iliyohusika ndo wakampa baraka za kupublish ile ngoma. Tuwe wakweli tu Harmonize kazingua na hii si mara ya kwanza tusimpe bichwa atapotea.

Hebu imagine shomadjozi mwimbaji wa south africa alitoa wimbo aliokua akimzungumzia john cena, kitendo cha kutaja tu john cena ni kosa kisheria na uongozi wa John cena wakamtaka john cena amchukulie hatua yule dada ila john cena akavunga.

Jason Derulo ana wimbo unaitwa Whatcha Say, kionjo cha chorus yake kachukua kwa mtu mwengine, aisee chupuchupu afungwe.

When it comes to sampling au kumention jina la mtu kwenye chorus yako wenzetu wanachukulia serious sana hizi mambo.
 
Murano, Sipingi unachosema mkuu. Ndiyo maana kwenye mchango wangu nlimalizia kwa kuandika "suala ni kufuata taratibu tu."

I moved your cheese!
 
Back
Top Bottom