Duuuh kumbeNaona kuna umuhimu wa kuanzisha Uzi kuusu watu wenye vvu wanapo kwenda kuchukua madawa kuna mengi tungesikia mm binafsi nimegundua kwanini wasichana wengi wana mabaibui yani mavazi ya kiislamu japo ni wakristo ujizoesha kuyavaa kwa kuwa huwa saidia kuficha sura wakati wanaenda kuchukua dozi za ARV
Sema Mwanamuziki. Kama wasanii wapo sana.Msanii wa kwanza bongo kumiliki benzi Kama sikosei
NdioChanzo cha kifo Ni TB siyo?
Ndiyo manayake ukisikia mdada wa kikristo ana mavazi hayo akakuambia anapenda kuyavaa wengi ni waongo 99% ila uyatumia kwa zaidi kuusiana na HIV kingine kuchepuka wakienda Gest na waume za watu au wakienda kwa waganga wa kienyejiDuuuh kumbe
Ukweli na uwazi kwenye mapenzi nilishaweka hii thread mkuu.Ndiyo manayake ukisikia mdada wa kikristo ana mavazi hayo akakuambia anapenda kuyavaa wengi ni waongo 99% ila uyatumia kwa zaidi kuusiana na HIV kingine kuchepuka wakienda Gest na waume za watu au wakienda kwa waganga wa kienyeji
Ni kweli pamoja na elimu inayotolewa kuwa ukishaanza matibabu na kufuata masharti ya dawa unaishi maisha yako ya kawaida na kuwa HIV haiambukizi kwa kushare vyombo vya kulia, choo, au kitanda lakini bado unyanya paa ni mkubwa sana.Haka kaugonjwa wacha tu tukasikie kwa mwingine, wengi walioathirika wanateseka sana kisaikolojia.
Issue ya Unyanyapaa ndio unawaumiza sana waathirika. Na wengi wanaangamia kwa sababu wanajificha sana kuhusu Afya zao.
Takwimu za Tanzania zinaonyesha 3% ya watanzania wameathirika. Hiyo ni idadi kubwa sana kwa ugonjwa wa Kuambukiza, ina maana mtu yoyote anaweza akaambukizwa popote pale hapa Tanzania.
Katika kila Dakika 15 kuna mtanzania mmoja anagundulika kwa mara ya Kwanza kupata maambukizi, mbali na juhudi zote zilizofanywa kupambana na Ugonjwa huu kwa miaka zaidi ya 30.
[HASHTAG]#TUWE[/HASHTAG] WAANGALIFU.
Hii ipo enzi na enzi. Kama unakumbuka Simba wa Nyika, Les Wanyika, Mbaraka Mwinshehe na Super Volcano wote waliwahi kuwapo Kenya. Kwa ujumla Kenya wanapenda sana wasanii wa TanzaniaWe singizia sumu tu Mungu anakuona, halafu ni kwanini wasanii wa bongo wanakimbilia sana Kenya mambo yao yakichacha hapa bongo, huo ndio mtelemko ee? Kwanini hamkimbilii Uganda?
Katika vituo vya Huduma ya kuchukulia dawa za kupumbaza VVU baadhi ya wateja ndio huwa wanavujisha siri ktk jamii.Ni kwasababu hakuna sheri zinazobana uvujishaji wa siri, nchi za ulaya ukivujisha siri ya mgonjwa kama ni mfanyakazi unapoteza ajira, awe daktari, nurse, au mwandika makadi wa mapokezi.
Matatizo watu tunajuana sana, inahusu nini kwenda kumwambia shost ofisini kuwa ulimuona mke wa kaka yake kwenye kitengo? Hata ukiamua kwenda kitengo cha Temeke wakati unakaa Boko, kuna unaofanya nao kazi watakuona.Katika vituo vya Huduma ya kuchukulia dawa za kupumbaza VVU baadhi ya wateja ndio huwa wanavujisha siri ktk jamii.
Hivi Dada unafikiri wanaovujisha siri ni madaktari au hao wauguzi?Ni kwasababu hakuna sheri zinazobana uvujishaji wa siri, nchi za ulaya ukivujisha siri ya mgonjwa kama ni mfanyakazi unapoteza ajira, awe daktari, nurse, au mwandika makadi wa mapokezi.
Inasikitisha sana, inamaana kama unataka unafuu wa maisha yako jiandikishe kitengo cha Morogoro wakati unaishi Dar, uzuri wake afya ikitengemaa unaweza kupewa appointment baada ya kila miezi 6 au mwaka. Lakini siyo haki, kuna wakati unakuwa na complications na unataka kuongea na daktari wako, sasa kama umejiandikisha Morogoro inabidi ufunge safari.Hivi Dada unafikiri wanaovujisha siri ni madaktari au hao wauguzi?
Wagonjwa wenyew ndio wanavujisha siri huko mitaani mana wanakutana huko halafu wakifika mtaani kila mmoja anamnyooshea mwenzie kidole.
Ngoja nikupe mfano.
Kuna mama mmoja yeye anajua watu wote mtaani walioathirika yaani akianza kukutajia utachoka.Sasa jiulize yeye kajulia wapi wakati wengine hatujui mpaka mtu aumwe awe na zile dalili ndo unajua.
Inavyosemekana mume wake alikuwa ameathirika na alifariki zamani kidogo.
Hivyo huwa tunasema basi yeye huwa anakutana na wenzie huko kuchukua dawa ila yeye akija mtaani ana kazi ya kutangaza wenzie hana hata wasiwasi.
Tena muda mwingine anakutajia kabisa na kituo anachoenda kuchukulia utaskia anaenda kuchukua dawa sehemu fulani hapo mtu kapita.
Ingeanza kwanza na hao wagonjwa mana wengine wanaenda mbali kuchukulia dawa hivo sio rahisi mhudumu amfahamu ila wanapokutana wenyew kwa wenyew sasa.
Lazima watakuwa CHADEMA tu ndio walitaka kumuua mr. Nice!
Mkuu kwenye kitengo huendi kupewa vidonge tu, wanakufanyia full medical check up, ni muhimu kuhudhuria. Mara nyingi unapata nafasi ya kuongea na daktari wako au nurse mwenye mafunzo maalum ya ugonjwa wa UKIMWI. Huo ndiyo unaitwa ushauri nasaha.Bora wangebadili style ya kuwapa vidonge hayo Mambo ya kukutana pamoja ndio yanayofanya waathirika waache kwenda kuchukua Dawa kwa kuhofia profile yake kuanikwa.
Ndiyo. Waliudhika sana mchaga mwenzao kuwasaliti. Au kusaliti chama chao.Hahahahahaha hii dhambi yenu itawatafuna daima, si ulisema Chadema ni ya Wachaga? Sasa wachaga wamuwekee sumu mchaga mwenzie???
Hivi duration ya kuchukua dawa ikoje?Mkuu kwenye kitengo huendi kupewa vidonge tu, wanakufanyia full medical check up, ni muhimu kuhudhuria. Mara nyingi unapata nafasi ya kuongea na daktari wako au nurse mwenye mafunzo maalum ya ugonjwa wa UKIMWI. Huo ndiyo unaitwa ushauri nasaha.
Best hii kitu sikia kwa jirani,ni wachache sana wameweza kuishi n kucontrol ugonjwaMkuu kwenye kitengo huendi kupewa vidonge tu, wanakufanyia full medical check up, ni muhimu kuhudhuria. Mara nyingi unapata nafasi ya kuongea na daktari wako au nurse mwenye mafunzo maalum ya ugonjwa wa UKIMWI. Huo ndiyo unaitwa ushauri nasaha.
Ila wanao vujisha wanatusaidia kuluka viunzi kabla ya kukanyaga bomu acha wavujushe tu mana hata wagonjwa wenyewe awafuati sheria ya kutokuueneza kwa makusudi sasa wanatakaje sheria ya kutunziwa siri ya afya zaoHivi Dada unafikiri wanaovujisha siri ni madaktari au hao wauguzi?
Wagonjwa wenyew ndio wanavujisha siri huko mitaani mana wanakutana huko halafu wakifika mtaani kila mmoja anamnyooshea mwenzie kidole.
Ngoja nikupe mfano.
Kuna mama mmoja yeye anajua watu wote mtaani walioathirika yaani akianza kukutajia utachoka.Sasa jiulize yeye kajulia wapi wakati wengine hatujui mpaka mtu aumwe awe na zile dalili ndo unajua.
Inavyosemekana mume wake alikuwa ameathirika na alifariki zamani kidogo.
Hivyo huwa tunasema basi yeye huwa anakutana na wenzie huko kuchukua dawa ila yeye akija mtaani ana kazi ya kutangaza wenzie hana hata wasiwasi.
Tena muda mwingine anakutajia kabisa na kituo anachoenda kuchukulia utaskia anaenda kuchukua dawa sehemu fulani hapo mtu kapita.
Ingeanza kwanza na hao wagonjwa mana wengine wanaenda mbali kuchukulia dawa hivo sio rahisi mhudumu amfahamu ila wanapokutana wenyew kwa wenyew sasa.