Mr Nice: Sina UKIMWI ila nililishwa sumu wakati wa kampeni.

Hivi duration ya kuchukua dawa ikoje?
Unakunywa mara ngapi kwa mwezi?

Ukisha gundulika kuwa uko positive unaanza initial assessment, ambayo sasa wanachukua damu kuangalia kiwango cha CD4 kwenye mwili wako, dawa gani itareact na damu yako, uzito, urefu, blood pressure, hivi vinafanywa na nesi. Baada ya hapo unapewa appointment ya kuonana na daktari baada ya wiki mbili, wakati huo majibu ya damu yanakuwa yamerudi na daktari atajua dawa gani inaendana na tiba yako. Kwa siku za kwanza utapewa appointment nyingi, inawezekana urudi tena baada ya wiki 6-8 hii ni kuangalia kama huna reaction na dawa, kama kuna reaction unaweza kubadilishiwa dawa.

Hali ikistablelize na wakiona una comply na treatment, basi utakuwa unaonwa mara moja baada ya miezi sita au mwaka, lakini unaambiwa kabisa ukiwa na tatizo unaweza kwenda saa yeyote. Tatizo ni wale wa methadone na walevi kupitiliza pia wale wanaokunywa dawa kwa wasiwasi watu wasijue, wanakosa privacy au wanasahau kunywa dawa consistently na hivyo ni vigumu kumaintain viral suppression level.
 
Jamaa mbona ipo gonjwa gonjwa tokea zamani hata kina banza walificha hvyo hvyo ila mwisho wa siku ikawa open....vimeo vyake vilikua vimekaa vbaya maana kila dancer wake alikua anabutua sasa madancer wa bongo walivyo resi [emoji23][emoji23]lazma ukae mwana
 
Matatizo watu tunajuana sana, inahusu nini kwenda kumwambia shost ofisini kuwa ulimuona mke wa kaka yake kwenye kitengo? Hata ukiamua kwenda kitengo cha Temeke wakati unakaa Boko, kuna unaofanya nao kazi watakuona.
Mi nawahurumia mastaa tu, hivi wanajifichaje?
 
Do ni kweli, maana hata uende Mwanza unajulikana sasa sijui inakuwaje.
Just assume ni Diamond au Wema Sepetu, kila sehemu wanayoenda wanafatwa na nzi kibao, nadhani watu wa namna hii wanakuwa na madaktari wao
 
Yah ninahisi hivyo, na njaa hii, anatumwa mtu kutoka Wasafi anakwenda Mwananyamala anaongea na nesi, jioni anakwenda nyumbani na vifaa vyote na kuchukua damu na kuiwahisha lab, na daktari anapangwa hivyo hivyo.
 
Rafiki yangu ni daktari kwenye kitengo, aliniambia usije ofisini tuonane sehemu nyingine yeyote, ukija pale jioni watu wanaanza kupeana habari kuwa na wewe ni muathirika.

Ilushanikuta hiyo, kuna siku nilienda Hindu Madal kufanya full checkup, nikaona sio mbaya nicheki na HIV, kumbe yule Dr. hua atatibu wanaenda clinic, kesho yake nilivyofuata majibu nikaambiwa nimfuate kule clinic, dah! Kuna watu niliwakuta kule, wanasiha njema kiasi kwamba Mimi ndio naonekana nimeungua. Ilipofika zamu yangu nikaingia, Dr. akasema wewe haukutakiwa kuja huku, pole sana. Uzuri majibu yalikua mazuri hapo kitendo cha kuambiwa nifuate majibu kule ilinichanganya nikajua tayari natakiwa nikapate msaada wa ushauri. Sitaisahau hiyo siku...
 
Ukisha gundulika kuwa uko positive unaanza initial assessment, ambayo sasa wanachukua damu kuangalia kiwango cha CD4 kwenye mwili wako, dawa gani itareact na damu yako, uzito, urefu, blood pressure, hivi vinafanywa na nesi. Baada ya hapo unapewa appointment ya kuonana na daktari baada ya wiki mbili, wakati huo majibu ya damu yanakuwa yamerudi na daktari atajua dawa gani inaendana na tiba yako. Kwa siku za kwanza utapewa appointment nyingi, inawezekana urudi tena baada ya wiki 6-8 hii ni kuangalia kama huna reaction na dawa, kama kuna reaction unaweza kubadilishiwa dawa.

Hali ikistablelize na wakiona una comply na treatment, basi utakuwa unaonwa mara moja baada ya miezi sita au mwaka, lakini unaambiwa kabisa ukiwa na tatizo unaweza kwenda saa yeyote. Tatizo ni wale wa methadone na walevi kupitiliza pia wale wanaokunywa dawa kwa wasiwasi watu wasijue, wanakosa privacy au wanasahau kunywa dawa consistently na hivyo ni vigumu kumaintain viral suppression level.
habari za HIV unazipenda sana dada angu why?
 
Ilushanikuta hiyo, kuna siku nilienda Hindu Madal kufanya full checkup, nikaona sio mbaya nicheki na HIV, kumbe yule Dr. hua atatibu wanaenda clinic, kesho yake nilivyofuata majibu nikaambiwa nimfuate kule clinic, dah! Kuna watu niliwakuta kule, wanasiha njema kiasi kwamba Mimi ndio naonekana nimeungua. Ilipofika zamu yangu nikaingia, Dr. akasema wewe haukutakiwa kuja huku, pole sana. Uzuri majibu yalikua mazuri hapo kitendo cha kuambiwa nifuate majibu kule ilinichanganya nikajua tayari natakiwa nikapate msaada wa ushauri. Sitaisahau hiyo siku...
Technology imebadilika sana siku hizi, hata majibu yakiwa mabaya, kitakachobadilika katika maisha yako ni kunywa dawa kila siku wakati hata wagonjwa wa moyo na kisukari wanakunywa dawa kila siku.
 
Ni kweli, huu ugonjwa unaanza kutuumiza kichwani, mawazo saikolojia na kujinyanyapaa wenyewe. Ndio maana inaanza kumsumbua mtu mara anapoambiwa ameathirika, kabla ya hapo anakua sawa tu.
 
Ni kweli, huu ugonjwa unaanza kutuumiza kichwa ni, mawazo saikolojia na kujinyanyapaa wenyewe. Ndio maana inaanza kumsumbua mtu pale anapogundulika kwamba anao.
The best thing ni kuiweka iwe siri yako, wa kumwambia ni partner wako tu, si haki kushiriki tendo la ndoa na mtu ambae unamficha siri hii. Hao wengine hawana ulazima kujua.
 
siongelei chochote juu ya umwiki(ukimwi)...lkn kwa sumu ajili ya siasa siamini ...kwani aligombea au alikuwa na mvuto kwa mashabiki kiasi apewe sumu
 
Kwani aligombea nini hadi wampoison! Ujue kukubali tatizo nao ni ushujaa!
 
Back
Top Bottom