Hivi duration ya kuchukua dawa ikoje?
Unakunywa mara ngapi kwa mwezi?
Mi nawahurumia mastaa tu, hivi wanajifichaje?Matatizo watu tunajuana sana, inahusu nini kwenda kumwambia shost ofisini kuwa ulimuona mke wa kaka yake kwenye kitengo? Hata ukiamua kwenda kitengo cha Temeke wakati unakaa Boko, kuna unaofanya nao kazi watakuona.
Do ni kweli, maana hata uende Mwanza unajulikana sasa sijui inakuwaje.Mi nawahurumia mastaa tu, hivi wanajifichaje?
Just assume ni Diamond au Wema Sepetu, kila sehemu wanayoenda wanafatwa na nzi kibao, nadhani watu wa namna hii wanakuwa na madaktari waoDo ni kweli, maana hata uende Mwanza unajulikana sasa sijui inakuwaje.
Yah ninahisi hivyo, na njaa hii, anatumwa mtu kutoka Wasafi anakwenda Mwananyamala anaongea na nesi, jioni anakwenda nyumbani na vifaa vyote na kuchukua damu na kuiwahisha lab, na daktari anapangwa hivyo hivyo.Just assume ni Diamond au Wema Sepetu, kila sehemu wanayoenda wanafatwa na nzi kibao, nadhani watu wa namna hii wanakuwa na madaktari wao
Rafiki yangu ni daktari kwenye kitengo, aliniambia usije ofisini tuonane sehemu nyingine yeyote, ukija pale jioni watu wanaanza kupeana habari kuwa na wewe ni muathirika.
habari za HIV unazipenda sana dada angu why?Ukisha gundulika kuwa uko positive unaanza initial assessment, ambayo sasa wanachukua damu kuangalia kiwango cha CD4 kwenye mwili wako, dawa gani itareact na damu yako, uzito, urefu, blood pressure, hivi vinafanywa na nesi. Baada ya hapo unapewa appointment ya kuonana na daktari baada ya wiki mbili, wakati huo majibu ya damu yanakuwa yamerudi na daktari atajua dawa gani inaendana na tiba yako. Kwa siku za kwanza utapewa appointment nyingi, inawezekana urudi tena baada ya wiki 6-8 hii ni kuangalia kama huna reaction na dawa, kama kuna reaction unaweza kubadilishiwa dawa.
Hali ikistablelize na wakiona una comply na treatment, basi utakuwa unaonwa mara moja baada ya miezi sita au mwaka, lakini unaambiwa kabisa ukiwa na tatizo unaweza kwenda saa yeyote. Tatizo ni wale wa methadone na walevi kupitiliza pia wale wanaokunywa dawa kwa wasiwasi watu wasijue, wanakosa privacy au wanasahau kunywa dawa consistently na hivyo ni vigumu kumaintain viral suppression level.
Technology imebadilika sana siku hizi, hata majibu yakiwa mabaya, kitakachobadilika katika maisha yako ni kunywa dawa kila siku wakati hata wagonjwa wa moyo na kisukari wanakunywa dawa kila siku.Ilushanikuta hiyo, kuna siku nilienda Hindu Madal kufanya full checkup, nikaona sio mbaya nicheki na HIV, kumbe yule Dr. hua atatibu wanaenda clinic, kesho yake nilivyofuata majibu nikaambiwa nimfuate kule clinic, dah! Kuna watu niliwakuta kule, wanasiha njema kiasi kwamba Mimi ndio naonekana nimeungua. Ilipofika zamu yangu nikaingia, Dr. akasema wewe haukutakiwa kuja huku, pole sana. Uzuri majibu yalikua mazuri hapo kitendo cha kuambiwa nifuate majibu kule ilinichanganya nikajua tayari natakiwa nikapate msaada wa ushauri. Sitaisahau hiyo siku...
It's my bread and butter. Lakini kuna wanaopenda kuzisoma mkuu.habari za HIV unazipenda sana dada angu why?
Technology imebadilika sana siku hizi, hata majibu yakiwa mabaya, kitakachobadilika katika maisha yako ni kunywa dawa kila siku wakati hata wagonjwa wa moyo na kisukari wanakunywa dawa kila siku.
The best thing ni kuiweka iwe siri yako, wa kumwambia ni partner wako tu, si haki kushiriki tendo la ndoa na mtu ambae unamficha siri hii. Hao wengine hawana ulazima kujua.Ni kweli, huu ugonjwa unaanza kutuumiza kichwa ni, mawazo saikolojia na kujinyanyapaa wenyewe. Ndio maana inaanza kumsumbua mtu pale anapogundulika kwamba anao.
Pole sana kwa kunyanyapaliwa.Rafiki yangu ni daktari kwenye kitengo, aliniambia usije ofisini tuonane sehemu nyingine yeyote, ukija pale jioni watu wanaanza kupeana habari kuwa na wewe ni muathirika.
Alirest in piece kwa maradhi hayo hayo DianaYule dada aliezaa na Mr Nice mtoto wa kiume alikuwa Lilian Internet au Diana Aston Villal?
Kuna madaktari wa macho ukiona tuu una detact ka danger mbele yako! we hujawahi ku apply hii ?As if ukimwi unaonekana kWa macho anavyomuuliza mwandishi
maswali kama haya ndo yanafanya.wengine waogope kuchangai hahahahabari za HIV unazipenda sana dada angu why?