Dada hiyo mboba tayari watu wanapiga moja kila baada ya miezi 6 nasikia ukipiga Mara 2 tu utashau kuumwa kabisa. Sema mpunga wake ndio balaa nadhani.Tena inakuja sindano ya UKIMWI unachoma mara moja kwa mwaka, wala mambo ya kukutana kwenye kitengo inahusu?
Ukisha gundulika kuwa uko positive unaanza initial assessment, ambayo sasa wanachukua damu kuangalia kiwango cha CD4 kwenye mwili wako, dawa gani itareact na damu yako, uzito, urefu, blood pressure, hivi vinafanywa na nesi. Baada ya hapo unapewa appointment ya kuonana na daktari baada ya wiki mbili, wakati huo majibu ya damu yanakuwa yamerudi na daktari atajua dawa gani inaendana na tiba yako. Kwa siku za kwanza utapewa appointment nyingi, inawezekana urudi tena baada ya wiki 6-8 hii ni kuangalia kama huna reaction na dawa, kama kuna reaction unaweza kubadilishiwa dawa.
Hali ikistablelize na wakiona una comply na treatment, basi utakuwa unaonwa mara moja baada ya miezi sita au mwaka, lakini unaambiwa kabisa ukiwa na tatizo unaweza kwenda saa yeyote. Tatizo ni wale wa methadone na walevi kupitiliza pia wale wanaokunywa dawa kwa wasiwasi watu wasijue, wanakosa privacy au wanasahau kunywa dawa consistently na hivyo ni vigumu kumaintain viral suppression level.
Diana Aston Villa,yeye alipasua hadharani listi ya watakaomfuata,akiwemo NiceYule dada aliezaa na Mr Nice mtoto wa kiume alikuwa Lilian Internet au Diana Aston Villal?
Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote
Msanii mkongwe wa muziki nchini Tanzania Mr. Nice ameibuka na kusema kuwa hana maradhi ya UKIMWI kama wengi walivyokuwa wanamzushia ila kilichomsumbua mpaka kufikia kulazwa mahututi hospitali ni kulishwa sumu wakati wa Kampeni katika uchaguzi wa mwaka jana.
Mr Nice ameeleza hayo wakati akifanya mahojiano na Gazeti la Taifa Leo la nchini Kenya lilifanya naye mahojiano wiki hii katika moja swali ambalo aliulizwa ni kuhusu tetesi ambazo zimesambaa nchini humo kuwa ana HIV.
Mr Nice ambaye kwa sasa anafanya muziki wake nchini Kenya, alikanusha uvumi huo huku akieleza nini kilimkuta mwaka jana mpaka akalazwa hospitali kwa miezi kadhaa.
“Kaka wewe mwenyewe ukinicheki nilivyo fresh nina ngoma kweli?,” Mr Nice alimuuliza mwandishi huyo huku akichek.
“Siugui Ukimwi lakini ni kweli mwaka jana nililazwa hospitali kwa miezi mitatu kuanza October. Nililishwa sumu kali wakati wa kampeni za uchaguzi lakini hatukuweza kubaini ni nani alifanya hivyo lakini tulijua ni mambo ya siasa na nikamwachia Mungu.
Kwa sasa Nice afya yake imerejea kama kawaida na anaendelea na kazi zake za muziki nchini Kenya.
Katika hatua nyingine amesema Tanzania kuwa na wasanii wengi kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 kuliko jirani zake Kenya na Uganda kulitokana juhudi za msanii moja moja.
“Kusema kweli wasanii wa Tanzania wamekuwa wakishindana wenyewe kwa wenyewe, kila mmoja anataka kufanya kazi nzuri kuliko mwenzake. Kwahiyo binafsi naona hii hali imesaidia kuwajenga wasanii wa Tanzania pamoja na muziki kiujumla,”.
Source: Bongo 5
Hivi haujawahi kuona mume au mke ameathirika lakini mwenzi wake anakutwa negative? Mimi nimesha shuhudia hili more than 5 times. Kwa hiyo hata kama Diana alikua ameathirika sio uthibitisho kwamba Nice na yeye moja kwa moja ameathirika. Je kuna anayejua (au hata yeye Diana mwenyewe ukute hakua anajua) Diana aliambukizwa lini? Before or after awe na Mr Nice? Msipende ku presume vitu. Diana inawezekana ndio alikufa kwa virusi lakini Mr Nice akawa hana virusi.Diana Aston Villa,yeye alipasua hadharani listi ya watakaomfuata,akiwemo Nice
mie nimemkariri Diana tu dada,sijasema kwamba Nice kaathirika,mbona unakua mkali hivyoo!Hivi haujawahi kuona mume au mke ameathirika lakini mwenzi wake anakutwa negative? Mimi nimesha shuhudia hili more than 5 times. Kwa hiyo hata kama Diana alikua ameathirika sio uthibitisho kwamba Nice na yeye moja kwa moja ameathirika. Je kuna anayejua (au hata yeye Diana mwenyewe ukute hakua anajua) Diana aliambukizwa lini? Before or after awe na Mr Nice? Msipende ku presume vitu. Diana inawezekana ndio alikufa kwa virusi lakini Mr Nice akawa hana virusi.
Hataree mkuu vipi hizi kinga Condom zinasaidia mkuu?Haka kaugonjwa wacha tu tukasikie kwa mwingine, wengi walioathirika wanateseka sana kisaikolojia.
Issue ya Unyanyapaa ndio unawaumiza sana waathirika. Na wengi wanaangamia kwa sababu wanajificha sana kuhusu Afya zao.
Takwimu za Tanzania zinaonyesha 3% ya watanzania wameathirika. Hiyo ni idadi kubwa sana kwa ugonjwa wa Kuambukiza, ina maana mtu yoyote anaweza akaambukizwa popote pale hapa Tanzania.
Katika kila Dakika 15 kuna mtanzania mmoja anagundulika kwa mara ya Kwanza kupata maambukizi, mbali na juhudi zote zilizofanywa kupambana na Ugonjwa huu kwa miaka zaidi ya 30.
[HASHTAG]#TUWE[/HASHTAG] WAANGALIFU.
sababu ni kuwa wakenya wanaitafuta hela hadi hatua ya mwisho. Hawana huruma na mgonjwa wala teja. Huyo watamkamua hadi hatua ya mwisho kama walivyofanya kwa Ray C na Q chila. Akiwa hoi kabisa ndio watampandisha bus arudi bongo. Maana watampigisha hata kwenye vi Bup uchwala. AtajutaWe singizia sumu tu Mungu anakuona, halafu ni kwanini wasanii wa bongo wanakimbilia sana Kenya mambo yao yakichacha hapa bongo, huo ndio mtelemko ee? Kwanini hamkimbilii Uganda?
Shida ni afya ya jamaa mgogoro ukichanganya na hayo ya akina Diana ndio kabisaa.....angekuwa yuko fresh hakuna mtu angejaliHivi haujawahi kuona mume au mke ameathirika lakini mwenzi wake anakutwa negative? Mimi nimesha shuhudia hili more than 5 times. Kwa hiyo hata kama Diana alikua ameathirika sio uthibitisho kwamba Nice na yeye moja kwa moja ameathirika. Je kuna anayejua (au hata yeye Diana mwenyewe ukute hakua anajua) Diana aliambukizwa lini? Before or after awe na Mr Nice? Msipende ku presume vitu. Diana inawezekana ndio alikufa kwa virusi lakini Mr Nice akawa hana virusi.
ImekuajeNimeiona hiyo pete..
Natamani siku mojanikuone liveTena inakuja sindano ya UKIMWI unachoma mara moja kwa mwaka, wala mambo ya kukutana kwenye kitengo inahusu?
Natamani nikuone liveNa pale mr Nice hawezi kukataa kuwa hajagusa, aliacha DNA.
Publicity inawasumbuaSiku hizi unameza kidonge kimoja tu kwa siku badala ya madawa mengi.sijui kwa nini hao watu maarufu wakiwa positive hawasemi kabisa.watazunguka tu ila siku wanaumbuka.