UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
Very sadKuna dada mmoja aliwahi kuniambia kuwa tangia agundulike alikaa mwaka mzima bila kumtembelea ndugu, akiwa kama mtoto wa kike pekee kwenye familia, alimtembelea kaka yake mkubwa, basi alipotulia aliamua kumweleza kaka yake juu ya ugonjwa, kaka alimwambia asitumie choo pamoja na watoto wake, kwakweli aliumia sana, anajuta kwanini alisema.
Sky EclatUkisha gundulika kuwa uko positive unaanza initial assessment, ambayo sasa wanachukua damu kuangalia kiwango cha CD4 kwenye mwili wako, dawa gani itareact na damu yako, uzito, urefu, blood pressure, hivi vinafanywa na nesi. Baada ya hapo unapewa appointment ya kuonana na daktari baada ya wiki mbili, wakati huo majibu ya damu yanakuwa yamerudi na daktari atajua dawa gani inaendana na tiba yako. Kwa siku za kwanza utapewa appointment nyingi, inawezekana urudi tena baada ya wiki 6-8 hii ni kuangalia kama huna reaction na dawa, kama kuna reaction unaweza kubadilishiwa dawa.
Hali ikistablelize na wakiona una comply na treatment, basi utakuwa unaonwa mara moja baada ya miezi sita au mwaka, lakini unaambiwa kabisa ukiwa na tatizo unaweza kwenda saa yeyote. Tatizo ni wale wa methadone na walevi kupitiliza pia wale wanaokunywa dawa kwa wasiwasi watu wasijue, wanakosa privacy au wanasahau kunywa dawa consistently na hivyo ni vigumu kumaintain viral suppression level.
Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya woteYule dada aliezaa na Mr Nice mtoto wa kiume alikuwa Lilian Internet au Diana Aston Villal?
KabisaWabongo wazushi bora tu aendelee kujichimbia zake huko Kenya!
-Nyerere-
Umempima?huyu hiv inamtafuna
Marehemu Diana apumzike kwa amaniYule dada aliezaa na Mr Nice mtoto wa kiume alikuwa Lilian Internet au Diana Aston Villal?
Hivi Lilian Internet yupo?
Kweli aisee bora ukae uko uko!uku unaweza kufa kwa kusimangwa tu na kuzuliwa ujingaWabongo wazushi bora tu aendelee kujichimbia zake huko Kenya!
-Nyerere-
Ah-hhh diana astonYule dada aliezaa na Mr Nice mtoto wa kiume alikuwa Lilian Internet au Diana Aston Villal?
[emoji87] [emoji87] [emoji40] [emoji40] [emoji124] [emoji124]Yule dada aliezaa na Mr Nice mtoto wa kiume alikuwa Lilian Internet au Diana Aston Villal?
eti unaskumizia na bia dahTena unasukumia hata na glass ya beer mambo mswano.
Kamekaa sehemu ganiKaugonjwa kamekaa pabaya sana
Hivi duration ya kuchukua dawa ikoje?
Unakunywa mara ngapi kwa mwezi?
Hlf nlikuwa naskia hii story toka zamani kuwa eti bwana machache a.k.a mume wa kyln ni mwathirika, na ww ushawahi ckia hizo fununu? ni kwel au watu wanazusha 2 jamn Sky Eclat
Yupo, kwa mujibu wa mtandao huo hapo chini ni kwamba amestaafu muziki na tar 27 August mwaka huu twanga pepeta walimfanyia sherehe ya kumuaga rasmi kwenye ukumbi wa mango garden.Hivi Lilian Internet yupo?
Okay poaYupo, kwa mujibu wa mtandao huo hapo chini ni kwamba amestaafu muziki na tar 27 August mwaka huu twanga pepeta walimfanyia sherehe ya kumuaga rasmi kwenye ukumbi wa mango garden.
Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini ‘send-off’-lilian-intaneti
Na huko wanamuona msanii mkubwa sana kama sisi wabongo tunavomuona alikiba huku kwetu kimuziki...Wabongo wazushi bora tu aendelee kujichimbia zake huko Kenya!
-Nyerere-