Mr Nice: Sina UKIMWI ila nililishwa sumu wakati wa kampeni.

Mr Nice: Sina UKIMWI ila nililishwa sumu wakati wa kampeni.

Kuna dada mmoja aliwahi kuniambia kuwa tangia agundulike alikaa mwaka mzima bila kumtembelea ndugu, akiwa kama mtoto wa kike pekee kwenye familia, alimtembelea kaka yake mkubwa, basi alipotulia aliamua kumweleza kaka yake juu ya ugonjwa, kaka alimwambia asitumie choo pamoja na watoto wake, kwakweli aliumia sana, anajuta kwanini alisema.
Very sad
 
Ukisha gundulika kuwa uko positive unaanza initial assessment, ambayo sasa wanachukua damu kuangalia kiwango cha CD4 kwenye mwili wako, dawa gani itareact na damu yako, uzito, urefu, blood pressure, hivi vinafanywa na nesi. Baada ya hapo unapewa appointment ya kuonana na daktari baada ya wiki mbili, wakati huo majibu ya damu yanakuwa yamerudi na daktari atajua dawa gani inaendana na tiba yako. Kwa siku za kwanza utapewa appointment nyingi, inawezekana urudi tena baada ya wiki 6-8 hii ni kuangalia kama huna reaction na dawa, kama kuna reaction unaweza kubadilishiwa dawa.

Hali ikistablelize na wakiona una comply na treatment, basi utakuwa unaonwa mara moja baada ya miezi sita au mwaka, lakini unaambiwa kabisa ukiwa na tatizo unaweza kwenda saa yeyote. Tatizo ni wale wa methadone na walevi kupitiliza pia wale wanaokunywa dawa kwa wasiwasi watu wasijue, wanakosa privacy au wanasahau kunywa dawa consistently na hivyo ni vigumu kumaintain viral suppression level.
Sky Eclat
 
Yule dada aliezaa na Mr Nice mtoto wa kiume alikuwa Lilian Internet au Diana Aston Villal?
Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote


9a4615a7dc9ed5be9dc930f046923659.jpg


TANZIA: Msanii wa muziki wa Dansi, Banza Stone (Ramadhani Masanja) afariki Dunia

Buriani Abuu Semhando a.k.a Baba Diana

Tanzia: Aisha Madinda afariki dunia
 
Hiyo picha na jaguar wamependeza sana,lakini naona kuna kitu hakipo sawa hapo angalia sura
 
Hlf nlikuwa naskia hii story toka zamani kuwa eti bwana machache a.k.a mume wa kyln ni mwathirika, na ww ushawahi ckia hizo fununu? ni kwel au watu wanazusha 2 jamn Sky Eclat

Mkuu sitakaa hata siku moja niseme Fulani anao, nitaongelea watu in general.
 
HATA HUYO MUANDISHI ALIE ULIZA HILO SWALI HANA MAADILI YA KAZI, UGONJWA HUWEZI KUUONA LABDA KIDONDA , UKIMWI HUWEZI KUUONA KWA MACHO WALA KWA KUJIBIWA SWALI.
 
Back
Top Bottom