Mr Nice wasanii waache unafiki hela niliyopata kipindi kile bado ninayo, awashauri wasanii

Mr Nice wasanii waache unafiki hela niliyopata kipindi kile bado ninayo, awashauri wasanii

HamisaBaby

Member
Joined
Oct 6, 2017
Posts
80
Reaction score
25
Mr Nice Akitoa ushauri kwa Wasanii wenzake na pia kuwa bado yupo kwenye Game
 
Mr. Nice ni msanii wa kwanza Tanzania kushika shilingi milioni moja ya pamoja, na ya kwake mwenyewe. Kabla ya hapo walikuwa wanaimba wapate mademu tu.
 
mpenziiiii...kidali poo
kalale nacho tutaonaba leshoo

ana ana anadooo...kachanika blastoo
inspiring matidoo

sare sare maua...
 
Samahani huyu jamaa kawa comedian? Mbona anaongea vichekesho?
 
GARI-JEURI.jpg
ANGESEMA UKWELI AKASAIDIWA.MBONA SAIDA KAROLI ALIPOTEA KARUDI.WAKIMBUSTI KIDOGO NA KOLABO MOJA NA KALE KAWIMBO KAKE KAMOJA MBONA ATAANZA KUNAWILI.ANGEKUWA BADO NA HELA ANGEPAUKA HIVYO!!! NA TUNGEMTAFUTA ALIPE KODI
 
Back
Top Bottom