Mr Pompeo: Wenye kudhulumu haki ya kuishi wapo Minneapolis

Unapohalalisha ukatili wa Makonda kwa refence ya kitoto kama hii wewe ni Zuzu.
Unaweza ukauthibitisha ukatili huo mbele ya vyombo vya sheria?, zaidi ya kusikiliza yanayosemwa na kuyaamini kama kasuku!?.
 
Unaweza ukauthibitisha ukatili huo mbele ya vyombo vya sheria?, zaidi ya kusikiliza yanayosemwa na kuyaamini kama kasuku!?.
Utendaji wa vyombo vya sheria ungekuwa hata robo ya Marekani ungekuwa na haki ya kuleta huu uji wako. Lakini mnaua mnapoteza ushahidi makusudi mchana kweupe halafu mnahoji tutoe ushahidi?
 
Unaonaje mkianza kuzungumza ya Tanzania yanayowahusu na mkaachana na Askari wa Marekani ambao KIUKWELI THEY DON'T CARE AND LISTEN CHOCHOTE KUTOKA KWENU?
.
unaweza dhani ni utani ila hawajali kabisa chochote kinachozungumzwa kutoka nje ya hili taifa. Yani hata Dems wakikusikia unamsema Trumpna wala sio mmarekani watakwambia "Jali ya nchi yako, yakwetu hayakuhusu"
 
Bashite ni mpumbavu pamoja na anayemtuma kuumiza watanzania
 
Utendaji wa vyombo vya sheria ungekuwa hata robo ya Marekani ungekuwa na haki ya kuleta huu uji wako. Lakini mnaua mnapoteza ushahidi makusudi mchana kweupe halafu mnahoji tutoe ushahidi?
Wazee wa kulialia katika ubora wenu.
 
Tatizo ni kwamba hao wamarekani wanao vibaraka wao tunaoishi nao hapa TZ, neno la hao watu kwa vibaraka wao ni kama lililoandikwa ndani ya msahafu.

Nilifanya kuwakumbusha tu kuwa Mungu katika ukuu wake anagusa kila taifa kwa wakati auchaguao yeye mwenyewe.
 
Unamaanisha mungu mtu uchwara mnayemuabudu aagizaye watu wapigwe na kupotezwa bila shaka.
 
Hahahaha wamemuua akwilina na askari waliomuua akwilina wame waficha.. Hawa ni watu wabaya sana
 
Profesa wa kutetea ujinga . Habari za miaka mingi ?
 
Hata wale walevi wanaojikwaa kwenye ngazi saa nane usiku na wao ni maagizo yake kupigwa?.
Sawa walevi leteni cctv picha zenu mnazojidai mnazo nyie wendawazimu. Eti alikuwa amelewa, mkashindwa hata kumpiga picha!? Sheeenzy sana.
 
Sawa walevi leteni cctv picha zenu mnazojidai mnazo nyie wendawazimu. Eti alikuwa amelewa, mkashindwa hata kumpiga picha!? Sheeenzy sana.
Mzee wa bapa anatafuta huruma ya dunia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Wafuate viongozi wa black lives matter au wale wa NAACP watakupa taarifa nyinginza unyama wa polisi wa Marekani ambazo huzijui.
 
kama ulisoma vizuri ile statment yake, alisema wana ushahidi wa kutosha. Mngeamua kuchukua hatua mngeomba huo ushahidi ila mmekaa kimya mnaogopa wasije wakatoa ushahidi.
 
kama ulisoma vizuri ile statment yake, alisema wana ushahidi wa kutosha. Mngeamua kuchukua hatua mngeomba huo ushahidi ila mmekaa kimya mnaogopa wasije wakatoa ushahidi.
Siasa nyepesi. Kwanza wabadilishe mifumo ya utendaji kazi ya kipolisi ya huko kwao ndipo wawe na uhalali wa kimaadili wa kuongelea yanayofanyika katika mataifa mengine.

Walimuua yule muiran kiongozi wa jeshi kwa sababu ambazo ukizifuatilia kwa undani ni sawa na walizotumia kwa RC wa Dar ambazo ni sawa na walizotumia kuivamia Iraq mpaka kusababisha nchi imekuwa ni uwanja wa vita. Libya ina mwaka wa tisa ikiwa katika vita visivyojulikana vitamalizika lini sababu ni kama hizi hizi za kipuuzi za tuhuma zinazofuatiwa na unyama usioelezeka.
 
Mzee wa bapa anatafuta huruma ya dunia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Sawa kalewa, mkashindwa hata kumpiga picha!? Ila picha za yule mtoto Akwilina mliyemuua tunazo, ila za mlevi Mbowe hamna, porojo za kuhalalisha udhalimu dhidi ya utu. Ukaburu si mzungu kumkatili mweusi tu, hata nyie weusi mmekuwa makaburu wa kutesa weusi wengine.
 
Picha za Mbowe zimejaa mitandaoni akiwa kalala kitandani pembeni kakaa dada mmoja.

Jana mkuu wa nchi kampiga dongo aliposema dawa za kienyeji zinasaidia hata kama mguu umeteguka.

Pompeo alitaka kuleta utemi wa kifala lakini dhuluma imemgeuka yeye na bosi wake.
 
Zinafanana na za yule ambaye picha yake ilimweka ndani Idris Bila shaka. Usisahau kumtumia email Pompeo. Makaburu hamtaki mshitakiwe, kwani mmekosa nini mpaka mshitakiwe, wakati wananchi wote wanawapenda!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…