Mr T Touch producer bora kwa sasa Tanzania

pwilo

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
10,913
Reaction score
13,876
Mr t_touch awali alikuwa akifanya kazi na nay wa mitego katika studio za free nation ila aliamua kuondoka na kuanzisha studio yake inayojulikana Kama 'Touchez soud'

Touch ametayarisha asilimia kubwa ya nyimbo za nay wa mitego na kuondoka kwake ni pigo kubwa kwa msanii huyo.

Hizi ni baadhi ya nyimbo alizotengeneza siku za karibuni

1.angejua (dayna nyange)
2.chafu pozi (billinass)
3.Too much (DARASA)
4.Raha jipe mwenyewe (linah sanga)
5.jike shupa (nuh mziwanda)

Hizo ni chache ila zipo nyingi

Namtakia kila la kheri katika safari yake hii [HASHTAG]#touch[/HASHTAG] touch
 
Mtoto mdogo by shilole
 
Aje tu pekee inatosha kuthibitisha ubora wa Abidady..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…