Kwa utaratibu unatakiwa kuanza kupata pension ya kila mwezi baada tu ya kustaafu ila kutokana na sababu mbalimbali wengine wanachelewa lkn lazima ulipwe zote.Mie ningependa kujua.
Hiyo pension ya kila mwezi huanza kutolewa kabla ya kupata lumpsum?
Au ni baada ya kupata lumpsum?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti anafundisha kila mtu.Ni tahadhali tu mkuu nina ushuhuda wa Mwalimu wangu mmoja kastaafu 2016 alipata hiyohiyo 90M akawekeza vibaya mno kwenye kilimo cha vitunguu na matrekta pesa yote aliitia kule sasa hivi anatamani aajiriwe upya anafundisha kila amuonaye huko kijijini kwao Dish limeyumba
Ndio mkuu yani syllabus za Chemistry anakushushia bila kujua hayo madude una undugu nayo au huna[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti anafundisha kila mtu.
Kwa hyo ukikutana naye barabarani anakuita halaf anatoa lecture?
Atafute mazingira mazuri atenge fedha kiasi ajikite kwenye ufugaji!
Anaweza kufuga ng'ombe wa maziwa kwa Iringa Lita 1000 Na unakuta asas anafuata mpaka njombe ko demand bado ni kubwa!
Halafu ni mradi ambao hauleti stress sana!
Akipata mbegu nzuri angalau ya kutoa Lita 10+ inalipa sana!
Lakini kama anaweza anaweza akajikita kwenye ufugaji wa kuku Mfano chotara mahitaji ya mayai bado ni makubwa halafu haihitaji kutumia nguvu sana kuhudumia kama ng'ombe wa maziwa, Kwahiyo hii ata hawa wastaafu wanaweza kufanya!
Ingawa sijui kama atakuelewa Maana wastaafu na kununua nyumba mjini ni kama paka Na maziwa!
NB; Hiyo miradi inahitaji usimamizi wa karibu sana wa mwenye mali mwenyewe asije akajiroga kufuga kwa remote (yupo dar mradi upo njombe) atalia