Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Nina mzee wangu ambae kalitumikia jeshj la magereza kwa miaka 34 kastaafu 2015 akiwa na cheo kikubwa tu, huu utaratibu mpya uliokuja wakuwalipa kila mwezi sio wakweli na tarehe uliyoitaja si ya kweli anapokeaga huo mshahara Bank ya posta nasema hivi nikiwa na ushahidi.Mkuu niwie radhi kwa kuendeleza 'debate' kibishani.
Nilichokueleza nina uhakika nacho.
Ninachokuomba 'update' kumbukumbu yako kwa mstaafu mwaminifu juu ya kupata ukweli namna ambavyo wastaafu wanalipwa sasa hivi.
Tena muulize hivi...'eti pensheni za wastaafu zinaingia tarehe ngapi kila mwezi?'...
Hapa naongelea wastaafu wanaolipwa na hazina.
Ni kila tarehe 28 ya kila mwezi na haijawahi kupitiliza katika kipindi cha awamu ya utawala huu na kwenye sikukuu kubwa za kitaifa wanawahishiwa sana.
Na huyo mama anayeelezwa kwenye mada hii, kama alilipwa mkupuo 90m, uhakika wa kulipwa lk5 kila mwezi ni sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
.
Na kuna baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wenzangu waliostaafu hawalipwi hivo