Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
FDs are currently at around 4-6% annually, hiyo 50m ukiiweka kwa rate ya 6% at the highest unapata 3m less 300,000 (10% WHT). Net ni 2,700,000 ambayo ni 225,000/- kwa mwezi.
Unaweza kufanya hiyo biashara?
Hiyo faida unayosema kuwa itakuwa inamtosha kwa ajili ya matumizi ni kweli itamtosha lakini kumbuka hiyo 50m mwisho wa siku itakuwa ndiyo hiyo hiyo huku thamani yake ikiwa imeshuka maana thamani ya 50m ya leo siyo sawa na thamani ya 50m ya miaka mitatu ijayo.Weka hiyo milioni hamsini kwenye fixed deposit kama alivyoshauri mtu mmoja hapo juu,faida yake tu inamtosha kwa matumizi,ukichukulia bado tena anavuta kwa mwezi,hiyo arobaini inayobaki fanya investment
Kwa maoni yangu kama angepata sehemu nzuri na akanunua kaeneo na kujenga fremu za kukodisha kama nne tu za kawaida kwa ajili ya biashara kwa mwezi atakuwa hakosi laki nne na wakati huo eneo lake likipanda thamani kila mwaka. Uzeeni hakuhitajiki kazi zenye changamoto sana.