Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Tena awahi Dodoma bado kuna maeneo mazuri na uhakika wa kupata wapangaji.Ushauri mzuri sana huu bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena awahi Dodoma bado kuna maeneo mazuri na uhakika wa kupata wapangaji.Ushauri mzuri sana huu bro
Atafute mazingira mazuri atenge fedha kiasi ajikite kwenye ufugaji!
Anaweza kufuga ng'ombe wa maziwa kwa Iringa Lita 1000 Na unakuta asas anafuata mpaka njombe ko demand bado ni kubwa!
Halafu ni mradi ambao hauleti stress sana!
Akipata mbegu nzuri angalau ya kutoa Lita 10+ inalipa sana!
Lakini kama anaweza anaweza akajikita kwenye ufugaji wa kuku Mfano chotara mahitaji ya mayai bado ni makubwa halafu haihitaji kutumia nguvu sana kuhudumia kama ng'ombe wa maziwa, Kwahiyo hii ata hawa wastaafu wanaweza kufanya!
Ingawa sijui kama atakuelewa Maana wastaafu na kununua nyumba mjini ni kama paka Na maziwa!
NB; Hiyo miradi inahitaji usimamizi wa karibu sana wa mwenye mali mwenyewe asije akajiroga kufuga kwa remote (yupo dar mradi upo njombe) atalia
Najua mnaishi mjini sana..mwambie atafute eneo kubwa ajenge nyumba nyingine pembezeni kidogo ya mji ambayo mtahamia kuishi huko..iyo nyumba ya mjini aikarabati katika mfumo iwe nyumba ya kupangisha ikiwezekana ajenge na nyumba nyingine hapohapo mjini palipochangamka iwe ya kupangisha so jumla ya nyumba zenye wapangaji mtakuwa nazo mbili hapo kila mwezi atakuwa anapata kodi..huko mtakapohamia etenge eneo kubwa kwa ajili ya ufugaji ng'ombe na kuku ikiwezekana na mifugo mingine alafu atafute kijana kutoka kijijini kwa ajili ya kuhudumia iyo mifugo na ambae atakuwa anamsaidia kuuza hizo bidhaa zitokanazo na mifugo kama maziwa..mayai..etc...kwa kuwa mama umri umeenda kama kuna visenti kidogo vitabaki hapohapo nyumbani mtakapohamia aweke duka la bidhaa za nyumbani so hapo ndo itakuwa sehemu yake ya kupiga Story na kupata hela ndogondogo...ukifuata huu ushauri najua kuna siku utanitafuta unishukuru
Mkuu pia kumbuka kuweka pesa fixed account kwenye utawala wa JPM napo ni risk kubwa-unaweza kutokewa na kama kilichowatokea wateja wa M-bank
Mkuu mama alikuwa mwalimu ameanza kazi 1981 akiwa na miaka 18 alipomaliza tu std 7,amsitafu mwaka jana mwezi wa 7.hadi anastafu mshahara wake ulikuwa mkubwa tu ndio maana pension yake ilikuwa nzuri kiasi na ni mimi ndio nilikuwa nafatilia hizi insu zake alipostafu.Nafahamu hilo mkuu, lakini katatizo kangu ni kadogo tu kuhusu kupewa laki tano kila mwezi umetumia wakati uliopo (Yani amekwisha staafu)
.
Na kuhusu pensheni umetumia wakati ujao hata ukisoma quotation yako hapo juu utaliona nalo lisema, alafu hakuna mfanyakazi wa umma ambae ametumikia kada ya ualimu, uaskari n.k (SI KADA ZOTE) anaepokea pesa nyingi kiasi hiko.
.
Waziri mkuu akistaafu anapokea nadhani asilimia 75-80 ya mshahara Raisi ni 90 kama sjakosea sisi wengine tukistaafu asilimia 50 ya mshahara yenyewe haifiki
Mkuu kuwa mchumi sio kujua kila kitu,haya mambo ya uwekezaji yanahutaji ideas pia.
Pia hajapanga ku invest 90M mahali pamoja ndio maana nimeandika huu uzi kuomba ushauri
Umuige mtu aliyekuwa rais ambaye hata ufugaji wake ni kwa ajili ya kupigia picha????NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA ILI KILA MTU APITIE HUU USHAURI KUHUSU HICHO KIINUA MGONGO BAADA YA KUSTAAFU.....Soma kwanza hizi nukta muhimu kabla ya ushauri wangu.....[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji117]Mpaka unaskia mtu kastaafu basi ujue kashafanya kazi sana maisha yake yote na amechoka anahitaji kupumzika
[emoji117]Mpaka unastaafu nna imani ana miaka 60 tayari(kiserikali) na life expectancy ya binadamu ni miaka 60
[emoji117]Hizo milioni 90 ni kiinua mgongo ni tofauti na Pension ambayo ni kama mshahara ambao analipwa kila mwezi...hii inatofautiana kwa kila mstaafu kutokana na mshahara wake wa mwisho...mara nyingi inakuwa ni ile pesa ya mwisho kupokea inagawanywa mara mbili ndo unakuwa unaipokea kila mwezi mpaka utakapokufa tu, ndio watasitisha hayo malipo kwa kuthibitisha kweli mstahiki amefariki
[emoji117]nna imani Ndani ya miaka yote ya aliyokuwa kwenye utumishi alishaweka miradi na kamjengo cha kujiengesha na miradi mingine midg midogo(Labda awe hakujipanga na mishahara yote alipigia bata la kutosha)
USHAURI[emoji116][emoji116][emoji116]
Hizo milioni 90 achukue kisha aweke fixed Account kwenye Bank maalumu ya Wastaafu ambayo ni Posta Bank ambayo watampa Intetest 13% kwa mwaka hapo atakuwa anavuna approximately 1milioni/per month Plus ile Pension lets assume laki 5(wengi wanaochukua Kiinua mgongo 80m-90m huwa pension yao ni laki 5 and above) Grand total inakuwa 1.5m per month....huku ile milioni 90 ikiwa pale pale haipungui na laki 5 tano zake kila mwezi mpaka anakufa zipo pale pale......
Sasa jamani kwa Mzee ambae kastaafu hiyo milioni 1.5 a month unataka nini tena cha ziada, zaidi ya kuchomoa 50k kila siku kwenye ATM na kujipongeza
Umezeeka na bado unawaza kuanzisha mamiradi ya kupasua kichwa kwa kiinua mgongo...My Friend mshauri mzee atakuja kufa na stress...izo hela ni mashetani!
kama alishindwa kuwekeza akiwa kijana na kazi zake...sa hivi mpe huu ushauri...asipoteze muda kujichanganya na miradi mikubwa....
Watanzania tulio wengi akili zimeganda mpaka mtu astaafu akishapata kiinua mgongo ndio anaanza kuwaza afanyie nini au aweke mradi gani wa kumuingizia pesa.....
Mwambie huu ni muda wa kuamka saa 5 na kwenda Sea Breeze saa 7 mchana..movie mpaka saa 2 usiku na kurudi home kulala...asijipe stress na maisha
Mzee wangu kastaafu nimempa iyo kanuni mpaka sahv ni miaka kadhaa anakula maisha tu na bado pesa ipo Bank kama alivopewa hajagusa hata shilingi 100 na kwa mwezi anapata Cash 1.6m mkononi anaendelea kujipongeza kila kukicha...(Ni Mwalimu mstaafu wa Primary School) Kiinua mgongo alipata 89.8milion's na Pension ni laki 5.8
NB; Wazee wengi wa kitanzania wakistaafu hawapendi kukaa idle (bila kazi yoyote) atataka tu apate kajikazi cha kujishungulisha ili mradi tu asiwe idle....basi kama atataka afanye mradi mwambie asifanye mradi mkubwa wa kuumiza kichwa au mwili...otherwise afanye mradi mdg mdg wa kuufanya mwili urelax na sio kuujaza mawazo....mfano ufugaji wa kuku au ng'ombe wa maziwa wawili watatu mradi apate kajikazi na si kukaa idle...REJEA MHESHIMIWA KIKWETE ANACHOKIFANYA BAADA YA KUSTAAFU PIA ITAKUSAIDIA...HUYU MZEE WETU NDIO MFANO WA KUIGWA
Refer Jack Ma (Ma Yun) Interview on YouTube about life after retirement!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi mkuu yaani milioni moja kila mwezi,mwaka au miaka?Mwambie Mama mtembelee crdb bank wana account maalum unaweka fedha pale wao kila mwezi wanakuingizia kiasi Fulani kulingana na makubaliano,mwishoni mwa mkataba kwa mfano miaka miwili unaweza kuchua pesa yako au unaendelea nao.
Kwa makadirio ukiweka 90,000,000 utakua unawekewa kwenye account yako 1,000,000.
Tembelea Crdb kwa maelezo zaidi
Kila mwezi,inaitwa Thamani A/C,hayo ni makadirio tu ,lakini wanalipa vizuri sana kuliko fixed A/C kama ukiweka kiasi kizuri kama hichoKivipi mkuu yaani milioni moja kila mwezi,mwaka au miaka?
Lakini hii Thamani Account ukiweka fedha maturity yake si ni miaka mitatu japo utakuwa unapewa faida kwa kila mwezi na ukiamua ku uplift kabla ya huo muda utaambulia hasara?Kila mwezi,inaitwa Thamani A/C,hayo ni makadirio tu ,lakini wanalipa vizuri sana kuliko fixed A/C kama ukiweka kiasi kizuri kama hicho
Ni kweli ukitaka kuzitoa kabla ya maturity wanakulamba kwa sababu umevunja mkatabaLakini hii Thamani Account ukiweka fedha maturity yake si ni miaka mitatu japo utakuwa unapewa faida kwa kila mwezi na ukiamua ku uplift kabla ya huo muda utaambulia hasara?
Nadhani yuko sahihi,Kuna ile pensheni ya kila nwezi ambayo nadhani ndio hiyo 500,000 na kiinua mgongo, ambayo ni ya mkupuo hulipwa once, kwa jinsi taratibu zilivyo mtu kustaafu mara moja au ndani ya muda mchache anaanza kupata pensheni ya kila mwezi, hiyo ya mkupuo huchelewa kwa muda fulani!Soma ulichokiandika juu 👆 na hapa chini 👇 haueleweki
Nilipata kuambiwa kuwa wao NMB wana Bonus Account ambapo riba yao kama faida kwa mwenye akaunti ni 13% kwa mwaka nadhani ndiyo hii unayozungumzia. Je hiyo riba kwa sasa imeshuka? Tatizo nililoliona kuhusu hii akaunti ni kwamba wao faida ulipa kila baada ya miezi mitatu mitatu na siyo kila mwezi japo napo itategemea na uhitaji wa pesa kwa mwenye akaunti maana kwa mwingine angependa apate fedha hiyo baada ya kupita miezi kadhaa mbele. Je, una hakika kwamba kwa sasa wanalipa hiyo faida kila mwezi na siyo kila baada ya miezi mitatu?Kwako uliyestaafu. Acha kabisa kuweka pesa zako kwenye mradi kwa vile wewe siyo mfanyabiashara mzoefu. Nakushauri kama ifuatavyo:- Hizo hela zako 90,000,000 ziweke kwenye fixed account kwenye Benki ya NMB. Kwa sasa wanatoa riba ya asilimia 9.5 na unaweza kukubaliana nao kukupa riba yako kwa mwezi. Nikupe hesabu ya riba yako kwa mwezi. 90,000,000 x 9.5/100 = 8,550.000 (faida kwa mwaka) toa kodi ya Serikali asilimia 10 = 7,695,000 (faida kwa mwaka) gawanya kwa 12 ili upate riba yako kwa mwezi = Tshs.641,250(riba ya kila mwezi) unayopata kila mwezi na huku fedha zako zikiwa salama. Hapo bado unapata pensheni yako ya kila mwezi. Achana na biashara fedha zako zitapotea. Biashara hakuna usalama wa fedha zako.
Mkuu nadhani umehitimisha mjadala huu ndio ushauri wa kuchukua!NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA ILI KILA MTU APITIE HUU USHAURI KUHUSU HICHO KIINUA MGONGO BAADA YA KUSTAAFU.....Soma kwanza hizi nukta muhimu kabla ya ushauri wangu.....[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]