ahaaa,,,,wanakuli find,wanakuli get.[emoji23][emoji23]Wanakulitafuta wanakulipata ,ngoja tuone!!
Jua litakaa ardhini, pannels zitaning'inia angani.Hebu nenda zaidi..
Watalining'ini angani?
Au zitawekwa paneli mahala kisha zisharabu mionzi ya jua na kubadilisha kuwa umeme?
Jua Temp ya nje ni 6000 sasa ngoja tuone hao wanakulitafuta kama wataweza kutengeneza Temp ya 6000 Celsius.Mkuu,kwa nini tuwe watu wa kusema ngoja tulione?Nafikiri inabidi kama taifa tuanze kuwa na maono ya miaka mingi baadaye.
Ndicho wanachokifanya mkuu,wanataka kutengeneza Jua at small scale,Mimi nakerwa tu na hio kauli yako ya Ngoja tuone kama wataweza.Kama katika real life una mtazamo wa namna hio ndugu yangu utakuwa una matatizo makubwa sana.Jua Temp ya nje ni 6000 sasa ngoja tuone hao wanakulitafuta kama wataweza kutengeneza Temp ya 6000 Celsius.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wanakulitafuta wanakulipata, ngoja tuone!
Hapana ni jua dogo ila litafanya kazi kama jua kubwa na kuzalisha unlimited clean energy.
Mkuu,wanachofanya ni kitu muhimu sana kwa maendeleo ya Dunia na kama ikifanikiwa ambapo naamini itafanikiwa kwa hakika.mzungu ana mazuri yake mengi ila pia ni muharibifu
teknolojia kama hii kweli ina ulazima wowote au wanataka kuleta mabalaa mengine tu huko mbele maana miale ya jua hili la asili tu saa nyingine inaleta matatizo ya kansa kwa baadhi ya watu hasa albino sasa ilo artificial itakuaje
Check possibilities mkuu au Propability ya kufanikiwa.Ndicho wanachokifanya mkuu,wanataka kutengeneza Jua at small scale,Mimi nakerwa tu na hio kauli yako ya Ngoja tuone kama wataweza.Kama katika real life una mtazamo wa namna hio ndugu yangu utakuwa una matatizo makubwa sana.
wewe ni scientist??...Check possibilities mkuu au Propability ya kufanikiwa.
Mimi hapa nfikiri theoretically kama inawezekana katika mazingira yetu ili na sisi tufanye kituwasomi wa tanzania wote wapo kwenye uzi wa kimasihara...wakiona hivi vitu wanaishia kutoa hoja za kike kupinga kwamba haiwezekani what the hell?...
We jama korosho zinaingiaje kwene hili suala?Tunajiona wajanja wenye akili Kama mchwa, eti hela ya wakulima ya korosho ya mwaka juzi ndio tunawalipa leo kabla ya uchaguzi ili wasitunyime kura