Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasije wakatuletea majanga hawa wapuuzi! Kwa nini wasitafute teknolojia ya kulinyonya kutokea Afrika badala ya kutengeneza la kwao? Wanacholitafuta watakipata sasa hivi!Hapana ni jua dogo ila litafanya kazi kama jua kubwa na kuzalisha unlimited clean energy.
Dah,Kweli wewe ni Mwafrika Halisi,Unaelewa wanachokifanya?Fungukeni tutabaki nyuma sanaWasije wakatuletea majanga hawa wapuuzi! Kwa nini wasitafute teknolojia ya kulinyonya kutokea Afrika badala ya kutengeneza la kwao? Wanacholitafuta watakipata sasa hivi!
Tanzania hatuna wasomi, tungekuwa na wasomi, ccm ingeshatoka madarakani.wasomi wa tanzania wote wapo kwenye uzi wa kimasihara...wakiona hivi vitu wanaishia kutoa hoja za kike kupinga kwamba haiwezekani what the hell?...
Tanzania ikiwa na hata msomi mmoja mwenye mtazamo sahihi anaweza kuwa na nafasi ya kuleta mabadilikoTanzania hatuna wasomi, tungekuwa na wasomi, ccm ingeshatoka madarakani.
Uwepo wa ccm madarakani ni ishara kwamba wasio wasomi ndio wapo wengi zaidi
Habari Watanzania'
Mataifa zaidi ya 35 ulimwenguni mengi yakiwani ya Ulaya yameanzisha mradi mkubwa sana wa kutengeneza teknolojia kwa ajili ya kufua nishati kwa kutumia mbinu kama inayotumika na jua-Nuclear Fission.
Teknolojia hio inalenga kutengeneza clean energy na ni salama zaidi kuliko teknoljia nyingine.
Chanzo: BBC
Je, kama taifa habari kama hii inatuambia nini kuhusu uelekeo wa dunia? Ni wakati wa kuwa na maono makubwa
Tunaelekea kula tunda kimasiharaHii ni habari nzuri pia,Sasa sijui sisi kama taifa tunaelekea wapi?
Hapana ni mwanasaikolojia.wewe ni scientist??...
Wachina nilisikia wao wanatengeneza mwezi wao uwe unamulika nchi nzima usiku nadhani wana lengo la kung'oa taa zote za barabarani ukikamilika, sijajua wamefikia wapi? Miaka 50 ijayo huko angani miezi, ma jua, manyota na masayari ya kutengenezwa yatakua yanapishana tuu kama nini sijui..Meanwhile in China kuna ongoing project kubwa sana kuwahi kutokea ya nuclear fusion inayoendelea na zile fusion reactants zimeshakamilikia kabisa.