Mradi Ng'ombe wa Asili

Ongezea nyama hapa Mkuu tafadhali
Kwasisi huku mbeya huwa tumaaminia kufuga ng'ombe wa kisasa.... zero grazing... ( Kufugia bandani).... that's y Kuna muda waziri mkuu aliwahi kuja mbeya alishangaa haoni ng'ombe ......but anaambiwa mbeya Ni miongoni mwa mikoa inayoongoza kwa udhalishaji wa maziwa

Faida zake

Unakuwa na ng'ombe wachache ambao wanazaoisha maziwa kwa wingi

Shughuli zako hazikwami....

Rahisi kumanage mifugo...
 
 
250000 ?? Mtamba?? Wenye Mimba?????
Nadra sana kuisikia hii
 
Mambo ya Rungwe/Tukuyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…