Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kwasisi huku mbeya huwa tumaaminia kufuga ng'ombe wa kisasa.... zero grazing... ( Kufugia bandani).... that's y Kuna muda waziri mkuu aliwahi kuja mbeya alishangaa haoni ng'ombe ......but anaambiwa mbeya Ni miongoni mwa mikoa inayoongoza kwa udhalishaji wa maziwaOngezea nyama hapa Mkuu tafadhali
Faida zake
Unakuwa na ng'ombe wachache ambao wanazaoisha maziwa kwa wingi
Shughuli zako hazikwami....
Rahisi kumanage mifugo...