Mradi Ng'ombe wa Asili

Mradi Ng'ombe wa Asili

Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi wa kufuga ng'ombe wa asili na kuachana na hawa wa kisasa.
Nitaenda minada ta bara ninunue mitamba kama 50 yenye mimba/au iko tayari kupandwa kwa Sh 250,000 kila mmoja.
Baada ya mwaka nataraji kila mmoja azae na nianze kupata maziwa angalau kwa ng'ombe 30 x lita 2 = 60 litres.
Kwa hapa nilipo lita shs 1,200 hivyo tapata 72,000 kila siku.
Kama nitatengeneza mtindi na yoghurt nitapata hadi laki 1.5 kwa siku.
Kwa mwezi nitapata net ya kama 1.8m hivyo mradi utarejesha fesha ndani ya miaka 2.
Pia tauza mbolea na nyama mwaka wa 3 wa mradi na gharama za uendeshaji kama pumba nk zitapungua.
Utafiiti wangu umehitosheleza na sasa naingia kazini.
Daah mkuu lita 60 ni ng'ombe mmoja na nusu
Hao hata mavi yake hayatoshi kutengenezea biogas
 
Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi wa kufuga ng'ombe wa asili na kuachana na hawa wa kisasa.
Nitaenda minada ta bara ninunue mitamba kama 50 yenye mimba/au iko tayari kupandwa kwa Sh 250,000 kila mmoja.
Baada ya mwaka nataraji kila mmoja azae na nianze kupata maziwa angalau kwa ng'ombe 30 x lita 2 = 60 litres.
Kwa hapa nilipo lita shs 1,200 hivyo tapata 72,000 kila siku.
Kama nitatengeneza mtindi na yoghurt nitapata hadi laki 1.5 kwa siku.
Kwa mwezi nitapata net ya kama 1.8m hivyo mradi utarejesha fesha ndani ya miaka 2.
Pia tauza mbolea na nyama mwaka wa 3 wa mradi na gharama za uendeshaji kama pumba nk zitapungua.
Utafiiti wangu umehitosheleza na sasa naingia kazini.

Hongera mzehe,,,lakini kwa iyo bei ya 250000 ni kama umeingizwa chaka mzehe. Kwa sasa hakuna ng'ombe wa 250000 labda vindama. Fanya research upya

Bei ya ng'ombe kwa sasa imeshuka bei

Wakubwa wanaenda 8-1.2m
Wawastani wanaenda laki sita hadi 7 na ushee
Wadogo laki 3 mpaka 4.

Sijui unawazungumzia wa size ipi mzehe
 
kilimo (maharage, alizeti , kunde nk ) ,ununuaji na usafirishaji wa mazao kama maharage nk Inc upatikanaji ,gharama nk
Ufugaji kama aloongelea mleta mada (mbuzi na ng'ombe) Kwa maeneo ya vijijini ........... Bila kusahau masoko

Sio mbaya ukishusha Mondo mkuu na kuspecify vijiji hivyo ambavyo fursa zote kama hizo zinaweza patikana.....
Maharage wanalima Mbinga,kuanzia mwezi wa 4,5 nenda kanunue,ukitaka kulima maharage wanapanda mwezi wa 2, kutayarisha Shamba mwezi wa 1, mahindi kuvuna mwezi mwezi wa 6, kupanda Dec., mahindi wanalima kwa wingi Songea,Namtumbo na Mbinga,ardhi ipo ya kutosha Namtumbo na Songea.Malisho yapo kwa sababu karibu miezi 6 mvua inanyesha.
Usafirishaji Kuna lami mpaka wilayani ,magari (fuso) yapo.Ng'ombe na mbuzi hawapo kwa wingi,inaweza kuwa fursa ya kwenda kufuga na kuuza.
Kama una swali lingine uliza.
 
Shukran Sana mkuu ...ngoja nijipange na Hilo la maharage japo nilikuwa nafikiria vijiji vya jirani na songea mjini ....kutokana na harakati zangu za hapa na pale ....

Swali la ziada ....alizeti vipi mkuu ? maana nliwahi kusikia alizeti na mvuà nyingi haziendani...
 
Nenda kalime Songea vijijini , maharage nako yanastawi, Alizeti inastawi maeneo mengi Tanzania tatizo ni mvua, haitaki mvua nyingi na ndiyo maana inastawi kwa wingi Dodoma na Singida ambako ni nusu jangwa.Sehemu zenye mvua nyingi alizeti inatakiwa ilimwe mwishoni mwa mvua,mfano mikoa ya Nyanda za juu kusini mvua zinaanza mwezi wa 12 zinaisha mwezi wa tano,kwahiyo inatakiwa upanda alizeti mwezi wa 3,haya ni maelezo ya jumla ukifika Kijiji husika unaweza kuwauliza wenyeji mvua zinaanza lini na zinaisha lini ,kwa sababu baadhi ya maeneo zinaweza kuanza mwezi wa 12 mwanzoni,kwingine mwezi wa 12 mwishoni na kuisha labda mwezi wa tano mwanzoni au mwezi wa tano mwishoni.
 
Shukran sana ndugu.
 
Hongera mzehe,,,lakini kwa iyo bei ya 250000 ni kama umeingizwa chaka mzehe. Kwa sasa hakuna ng'ombe wa 250000 labda vindama. Fanya research upya

Bei ya ng'ombe kwa sasa imeshuka bei

Wakubwa wanaenda 8-1.2m
Wawastani wanaenda laki sita hadi 7 na ushee
Wadogo laki 3 mpaka 4.

Sijui unawazungumzia wa size i
 
Mkuu bei hizi ni halisi....inategemeana una nunua ,uda gani...nenda minada ya Tabora huko utakubaliana na utafiti wangu

Sawa mkuu kila la heri,,,nakuombea kwa Mola subhanahu wata'alaa akufanyie wepesi kwenye business yako na utoboe
 
Mkuu vipi hii project nikitaka kufanyia sehemu kama za Mbeya hii biashara ya kunenepesha
Mkuu; Popote inawezekana. Kinachojalisha zaidi ni upatikanaji wa vitu muhimu kama vile Mifugo(ng'ombe watakaonenepeshwa) mazingira rafiki (Environmental factors) na SOKO la uhakika.
 
Ooooh sawa sawa mkuu nikijaliwa ntaifanya
 
Utafiti wangu unazidi kuleta positivity kwa kile nachokiamini............nimeanza uangalia napata wapi fedha, na ukame wa mwaka huu kuanzia mwezi wa 10 - 12 bei ya mifugo itashuka na mimi ndio napitia hapo hapo.
 
Uhakika Kaka mwez wa kwanza ngombe atanunuliwa had lak Tena mkubwa kabsa!
Utafiti wangu unazidi kuleta positivity kwa kile nachokiamini............nimeanza uangalia napata wapi fedha, na ukame wa mwaka huu kuanzia mwezi wa 10 - 12 bei ya mifugo itashuka na mimi ndio napitia hapo hapo.

Utafiti wangu unazidi kuleta positivity kwa kile nachokiamini............nimeanza uangalia napata wapi fedha, na ukame wa mwaka huu kuanzia mwezi wa 10 - 12 bei ya mifugo itashuka na mimi ndio napitia hapo hapo.
Kaka nachukua andiko lako km lilivyo ntalfanyia kaz
 
Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi wa kufuga ng'ombe wa asili na kuachana na hawa wa kisasa.
Nitaenda minada ta bara ninunue mitamba kama 50 yenye mimba/au iko tayari kupandwa kwa Sh 250,000 kila mmoja.

Baada ya mwaka nataraji kila mmoja azae na nianze kupata maziwa angalau kwa ng'ombe 30 x lita 2 = 60 litres.

Kwa hapa nilipo lita shs 1,200 hivyo tapata 72,000 kila siku.
Kama nitatengeneza mtindi na yoghurt nitapata hadi laki 1.5 kwa siku.

Kwa mwezi nitapata net ya kama 1.8m hivyo mradi utarejesha fesha ndani ya miaka 2.
Pia tauza mbolea na nyama mwaka wa 3 wa mradi na gharama za uendeshaji kama pumba nk zitapungua.
Utafiiti wangu umehitosheleza na sasa naingia kazini.
Tunaomba mrejesho mkuu....
Wapi umefikia
Na kwa asilimia ngapi tafiti yako imekusaidia...
Changamoto gani unapitia
 
Back
Top Bottom