Mkuu sa iv watu wote waliokuwa adui wa serikal ni marafik wa serikal subr tu uone huko mbeleKatika vitu ambavyo sielewi ni ujenzi wa bandari mpya wakati hizi za zamani zinatushinda kuziendeleza.
Nitasimama na Marehemu Magufuli kwenye suala hili.
Hawana tofauti na pascoYericko na Zitto kwenye msimamo mmoja na Mwenyekiti wa CCM ....
Ama kweli miaka imepita
Kama unampenda sana mwendazake mfuate huko chato, wakati wake umeshapitaNatumaini hayo mazungumzo kwa upande wa serikali yetu yatajumuisha watu makini na wenye uelewa mpana wa uchumi wa kisasa. Yale yaliyosemwa na hayati na yapewe kipaumbele kwenye mijadala.
Tuliweza kwenye madini mpaka imeundwa hiyo kampuni ya Twiga natumaini umakini huo huo utakuwepo tutakapokuwa tukiongea na hao wawekezaji.
Hawa watu ndio wanapiga kelele shule hazina madawati hospital hazina dawa.Mkuu sa iv watu wote waliokuwa adui wa serikal ni marafik wa serikal subr tu uone huko mbele
Hata wakati wako wewe utapita tu. Maisha haya ni hadithi tu nikimnukuu Mzee Mwinyi.Kama unampenda sana mwendazake mfuate huko chato, wakati wake umeshapita
Ujinga 5gHawa watu ndio wanapiga kelele shule hazina madawati hospital hazina dawa.
Halafu tunataka kujiingiza kwenye miradi isiyo ya maana...mtu anadiriki kusema eti umeme sio muhimu kama bandari si atakuwa mwehu kabisa huyo.
Spika anasemajeMkuu sa iv watu wote waliokuwa adui wa serikal ni marafik wa serikal subr tu uone huko mbele
Mimi nishamuona mara mbili karibia na kwa Mzee Mwinyi Hamis kabla hujafika Rombo paleNakuonaga nje ya ile saloon pale kigamboni unapiga story na washikaji opposite na frem ya Navy jwtz
Ww ndio una mimba ya dikteta kila siku mnadai mnatetea legacy,legacy legacy my foot mfuateni huko chato mkalale nae kama mmemmisiBado tu mimba ya dikteta hujajifungua?
Unafikiri mkataba utauona hadharani huo ni mkataba wa kibiashara siyo wa kuuziana maandazi nazani mleta mada kadadavua kwa point za msingi.Hizi nadharia zote zinazoibuka kuhusu huu mradi zinazimwa na maneno mawili tu; UMEOUNA MKATABA, na zaidi haya maneno mawili yanawafaa zaidi wote wanaotaka haya mazungumzo yaendelezwe.
Hivi wewe ushawahi kufanya biashara? Unategemea uwape washindani wako wa biashara proposals zako hadharani.Mkataba wa hiyo bandari umeuona?
Kwani ukoo wako unaishi nchi nyingine zaid ya hii?Mataga ni kina nani? Utabaki na hilo jina mataga huku umasikini unakutafuna na wenzio wanapiga hela!
Usifikiri unapotetea ujinga unamkomoa Magufuli na familia yake hapana! Wanakomoka familia na ukoo wako huko vijijini
Sasa una bwabwaja kitu gani?Hivi wewe ushawahi kufanya biashara? Unategemea uwape washindani wako wa biashara proposals zako hadharani.