Tazama video ya hayati anapofafanua mradi unatak nnHutuwezi kujua nani mkweli mpaka tuuone mkataba!
Moja ya tetesi za masharti ya Bandari ya Bgamoyo ni kuwa Bandari ya Dar isifanye kazi mpaka masharti ya mkataba utakapoisha. Sijui nikweli au la, mkataba wenyewe ni siri.Mradi wa bagamoyo una maadui wa ndani na nje ya nchi. Ndani ya nchi ni TPA hasa dar port, hawataki kabisa kuusikia mradi huu;
Hili halihitaji siasa bali linahitaji wabobezi wafuataoawamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k
awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba
lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya bagamoyo
awamu ya 5 walituambia mradi haufai lakini tumesikia tukiambiwa walishauriwa vibaya
swali ni je kwa uzoefu wetu katika mambo ya mikataba tuliyo nayo je ni nani mkweli?
Tunataka kuona mkataba, ndio kitu pekee tunachoweza kukiamini. Sio maneno ya hayati, wala maneno ya Ndugai. Tunataka mkataba!Tazama video ya hayati anapofafanua mradi unatak nn
Kwa mashart hayo niliosikia kwa hotuba ya mzee marehemu ninahakika wanaosema kwa sasaa ndio.wanafik mrad haun tijaaaa kabisa
Tafuteni video ya maelezo ya eng kakoko ndo mtaelewa huu mradi tunapigwa wachina wametupa masharti 11 tu ila magumu hayatekelezeki ni upuuzi mtu nikiipata ntaweka link humu
Kutegemea hotuba ya Magufuli ni ujuha mwingine, mkataba uletwe hadharani basi!Tazama video ya hayati anapofafanua mradi unatak nn
Kwani TPA ni mtu binafsi? Kwa hiyo china wana uchungu na Tanzania kuliko TPA ambalo ni shirika letu la umma?Mradi wa bagamoyo una maadui wa ndani na nje ya nchi. Ndani ya nchi ni TPA hasa dar port, hawataki kabisa kuusikia mradi huu; nje ya nchi kwa upande wa afrika mashariki ni Kenya hawaitaki hii makitu; nje ya nchi kwa upande wa mabara kuna anti-¢hina nadhani wanajulikana (USA, €uropean countries), japo hatupaswi kuwalegezea ¢hina, tunatakiwa kwenda nao sawa.
Moja ya sharti la mkataba nahisi ni kuwa mkataba ni siri!Kutegemea hotuba ya Magufuli ni ujuha mwingine, mkataba uletwe hadharani basi!
apo ni unafiki mtupu.........awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k
awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba
lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya bagamoyo
awamu ya 5 walituambia mradi haufai lakini tumesikia tukiambiwa walishauriwa vibaya
swali ni je kwa uzoefu wetu katika mambo ya mikataba tuliyo nayo je ni nani mkweli?
Lakini kuna raia wana uchungu na nchi yao,hawashindwi kuutupia hapa.Moja ya sharti la mkataba nahisi ni kuwa mkataba ni siri!
Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulisainiwa mwishoni kwa awamu ya nne.awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k
awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba
lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya bagamoyo
awamu ya 5 walituambia mradi haufai lakini tumesikia tukiambiwa walishauriwa vibaya
swali ni je kwa uzoefu wetu katika mambo ya mikataba tuliyo nayo je ni nani mkweli?
Mradi una makandokando mengi sana. Mchina ameahidi fedha nyingi kwa akina Ndungai na watetezi wenye influence serikalini kama bakshishi iwapo mradi utapita. Huku ni kuuza nchi. Tanzania itafaidika kidogo sana na China itakuwa kama imenunua kipande cha Tanzania.awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k