Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 Apr 10, 2021 #21 mbingunikwetu said: Moja ya sharti la mkataba nahisi ni kuwa mkataba ni siri! Click to expand... Kama ni siri basi Ndugai akome kutupia kelele!
mbingunikwetu said: Moja ya sharti la mkataba nahisi ni kuwa mkataba ni siri! Click to expand... Kama ni siri basi Ndugai akome kutupia kelele!
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,499 Reaction score 19,292 Apr 10, 2021 #22 Wekeni hapa huo mkataba mtupe miaka mitano tuupitie neno kwa neno, nukta kwa nukta, koma kwa koma, hatuwaamini tena na haya mamikataba ya kijizi, afterall hatuna haraka sana na hiyo bandari kwani ya Dar bado haijazidiwa..
Wekeni hapa huo mkataba mtupe miaka mitano tuupitie neno kwa neno, nukta kwa nukta, koma kwa koma, hatuwaamini tena na haya mamikataba ya kijizi, afterall hatuna haraka sana na hiyo bandari kwani ya Dar bado haijazidiwa..
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 11, 2021 #23 Huo mradi una siri nzito sana...