Mradi wa bomba la gesi asili toka Tanzania kwenda Kenya

Itagharimu 1 billion USD ? Nani atalipia hiyo gharama na italipa kweli? Kenya kuna Uchumi wenye mahitaji ya Gesi asilia mkubwa kiasi hicho? Watatumia kufanyia nini hiyo Gesi?
1)Wataunganisha katika viwanda vyao kama tulivyofanya huku TZ
2)Watazalisha umeme
3) Wataunganisha katika nyumba kwa ajili ya kupikia
4) Watatumia katika magari madogo ya petrol kupunguza kuagiza petrol

$1B kwa Kenya na Tanzania ni pesa ndogo kama serikali zitaamua kulijenga, lakini mradi wa gesi unafaida kubwa sana, wafanyabiashara wapo tayari kushiriki, kumbuka kwamba hii gasi asilia itakwenda kupunguza sana soko la makampuni yanayouza gesi za kupikia na matumizi mengine ya gesi ya Kwenye mitungi.
 
1) Wataunganisha katika viwanda vyao kama tulivyofanya huku TZ
2) Watazalisha umeme
3) Wataunganisha katika nyumba kwa ajili ya kupikia
4) Watatumia katika magari madogo ya petrol kupunguza kuagiza petrol

$1B kwa Kenya na Tanzania ni pesa ndogo kama serikali zitaamua kulijenga, lakini mradi wa gesi unafaida kubwa sana, wafanyabiashara wapo tayari kushiriki, kumbuka kwamba hii gasi asilia itakwenda kupunguza sana soko la makampuni yanayouza gesi za kupikia na matumizi mengine ya gesi ya Kwenye mitungi.

Binafsi siamini kama Kenya kuna Uchumi wa kuhalalisha uwekezaji wa 1 bilion USD, hiyo ni pesa nyingi sana, na hakuna Viwanda wala households za kurudisha hiyo gharama, Uchumi wao hautoshi, kwa maoni yangu ni bora Gesi yetu tungejikita kwenye kuexport kwenye Industrialized countries, huko ndiko kutakapo lipa, kama tukijaza Meli na Gesi na kuiuza Ulaya, Asia au hata USA ingawaje wana yao pia, lkn hasa Ulaya na Asia italipa, lkn kwa Kenya Uchumi wao ni mdogo mno kuhalalisha 1 billion Dollar USD investment hasa kama italipwa na walipa kodi wa uchumi mdogo kama wetu au Kenya.
 
Tunawasubiri waje. Waache ujinga ujinga wao.
Kama wapo serious kufanya business waje. Lakini utoto utoto wao huo waache.
Hili bomba la gesi kwa Kenya is a matter of life and death, hawana ujanja wa kulikwepa, Kenya misitu michache iliyobaki inakatwa kwa kasi sana kwa ajili ya kuni na mkaa, wanahitaji hii gesi kwa haraka sana kupunguza kasi ya "deforestration".
 
Binafsi siamini kama Kenya kuna Uchumi wa kuhalalisha uwekezaji wa 1 bilion USD, hiyo ni pesa nyingi sana, na hakuna Viwanda wala households za kurudisha hiyo gharama, Uchumi wao hautoshi, kwa maoni yangu ni bora Gesi yetu tungejikita kwenye kuexport kwenye Industrialized countries, huko ndiko kutakapo lipa, kama tukijaza Meli na Gesi na kuiuza Ulaya, Asia au hata USA ingawaje wana yao pia, lkn hasa Ulaya na Asia italipa, lkn kwa Kenya Uchumi wao ni mdogo mno kuhalalisha 1 billion Dollar USD investment hasa kama italipwa na walipa kodi wa uchumi mdogo kama wetu au Kenya, ...
Ngoja tuwape nafasi tuone kama wanaweza.
Tunatakiwa tubadilike jamani. Hawa nao ni waafrika wenzetu. Na faida ya Gas siyo ya mwaka mmoja.
Unajua, kama wataweza kuunganisha Gas mpaka kwao, maana yake we will control them. Fikiria kwa jicho la mbali zaidi.
 
Ni kweli kabisa. Cha msingi wanatakiwa waache mawazo yao ya zamani. Mawazo mgando yaliyopitwa na wakati ya kujifanya eti wapo juu kiuchumi.

Kama tutafanikisha suala hili hakika tutaanza kuwa control kisiasa na uchumi wao utaanza kutegemea Tanzania.
 
Unajua, kama wataweza kuunganisha Gas mpaka kwao, maana yake we will control them. Fikiria
kwa jicho la mbali zaidi.

Siyo swala la kuwa Mwafrika au la, ni swala la kiuchumi, haya mambo ndiyo yaliyotufikisha hapa, kuwekeza 1 bilion USD kwa nchi kama Tanzania ni pesa nyingi sana, na Kenya hakuna uchumi wa kuhalisha huo uwekezaji.
 
Ngoja tuwape nafasi tuone kama wanaweza.
Tunatakiwa tubadilike jamani. Hawa nao ni waafrika wenzetu. Na faida ya Gas siyo ya mwaka mmoja.
Unajua, kama wataweza kuunganisha Gas mpaka kwao, maana yake we will control them. Fikiria kwa jicho la mbali zaidi.

You suggest "black mailing" using the gas???
 
Binafsi siamini kama Kenya kuna Uchumi wa kuhalalisha uwekezaji wa 1 bilion USD, hiyo ni pesa nyingi sana, na hakuna Viwanda wala households za kurudisha hiyo gharama, Uchumi wao hautoshi, kwa maoni yangu ni bora Gesi yetu tungejikita kwenye kuexport kwenye Industrialized countries, huko ndiko kutakapo lipa, kama tukijaza Meli na Gesi na kuiuza Ulaya, Asia au hata USA ingawaje wana yao pia, lkn hasa Ulaya na Asia italipa, lkn kwa Kenya Uchumi wao ni mdogo mno kuhalalisha 1 billion Dollar USD investment hasa kama italipwa na walipa kodi wa uchumi mdogo kama wetu au Kenya, ...
Kaka tofautisha mamba mawili katika biashara ya gesi

1)Compressed gas = Hii ni lazima ujenge kiwanda kwa ajili ya kuigeuza iwe kwenye 'liquid form" iweze kuingia katika meli na mitungi midogo kwa kusafirishwa.

Hiki kiwanda pekee kinagharimu $30B, ndio mazungumzo yapo katika hatua za mwisho ili wawekezaji waanze kujenga hicho kiwanda huko Mtwara ili gesi yetu iweze kupelekwa nchi mbali mbali duniani.

Kutokana na uwekezaji wa pesa nyingi katika kujenga kiwanda, matokeo yake gharama ya gesi inakua juu sana kwa wananchi masikini kuweza kupikia majumbani

2)Non compressed= Hii gharama yake ni Kihinga bomba toka kwenye visima hadi majumbani, unatumia kama maji, bei yake ipo chini sana, wananchi wengi wanaweza kulipia.

Kiwanda cha kugeuza gesi kuwa maji ni biashara kubwa kwa hiyo ni private sector, lakini bomba la gesi zaidi ni serikali kwasababu ni sehemu ya huduma kama umeme na reli.
 
Ni kweli kabisa. Cha msingi wanatakiwa waache mawazo yao ya zamani. Mawazo mgando yaliyopitwa na wakati ya kujifanya eti wapo juu kiuchumi.
Kama tutafanikisha suala hili hakika tutaanza kuwa control kisiasa na uchumi wao utaanza kutegemea Tanzania.
Katika hili itabidi tuwazoo, sio rahisi kwa wakenya kuacha hiyo tabia, ni sawa na kuwaambia waache ukabila, itachukua muda sana kwa wakenya kuachana na huo ujinga, ndivyo walivyokuzwa tangu utotoni.
 
Siyo swala la kuwa Mwafrika au la, ni swala la kiuchumi, haya mambo ndiyo yaliyotufikisha hapa, kuwekeza 1 bilion USD kwa nchi kama Tanzania ni pesa nyingi sana, na Kenya hakuna uchumi wa kuhalisha huo uwekezaji, ...
Hapana mkuu, inalipa Sana, kwanza kumbuka hizi ni nchi mbili kwa maana hiyo ni $500M kwa kila nchi, pili Kama ktk SGR, baada ya Rwanda kukubali kuifikisha Kigali, DRC wamekubali kuunganisha toka Rwanda hadi kwao.

Kenya wakifikisha hili Bomba, ni rahisi sana Ethiopia na Somalia miaka ijayo kuunga toka Kenya.

Kumbuka kwamba bado Kenya pekee inavyo viwanda vingi vyenye kuhitaji gas, pia hawana misitu mingi kwahiyo nyumba nyingi sana na Mahotel zitaunganishwa kwa gesi, inalipa sana Kenya.
 
Kaka tofautisha mamba mawili katika biashara ya gesi

1)Compressed gas = Hii ni lazima ujenge kiwanda kwa ajili ya kuigeuza iwe kwenye 'liquid form" iweze kuingia katika meli na mitungi midogo kwa kusafirishwa.

Hiki kiwanda pekee kinagharimu $30B, ndio mazungumzo yapo katika hatua za mwisho ili wawekezaji waanze kujenga hicho kiwanda huko Mtwara ili gesi yetu iweze kupelekwa nchi mbali mbali duniani.

Kutokana na uwekezaji wa pesa nyingi katika kujenga kiwanda, matokeo yake gharama ya gesi inakua juu sana kwa wananchi masikini kuweza kupikia majumbani

2)Non compressed= Hii gharama yake ni Kihinga bomba toka kwenye visima hadi majumbani, unatumia kama maji, bei yake ipo chini sana, wananchi wengi wanaweza kulipia.

Kiwanda cha kugeuza gesi kuwa maji ni biashara kubwa kwa hiyo ni private sector, lakini bomba la gesi zaidi ni serikali kwasababu ni sehemu ya huduma kama umeme na reli.

Naelewa yote hayo, hiyo 1 billion ni bora tuwekeze kwingine lkn kupeleka Kenya kwa maoni yangu hailipi kwani ni pesa nyingi sana kwa Uchumi kama wetu, usisahahu kuna maintenance ya hiyo infrastructure pia.
 
MY TAKE: Katika miradi yote ya Kenya, huu ni mradi muhimu zaidi, wenye faida kubwa kwa uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja mmoja.

Ni muhimu tu kwa sababu bomba linatoka Tanzania sindio? Kama lingekuwa linatokea nchi nyingine basi ungeliita white elephant.
 
Binafsi siamini kama Kenya kuna Uchumi wa kuhalalisha uwekezaji wa 1 bilion USD, hiyo ni pesa nyingi sana, na hakuna Viwanda wala households za kurudisha hiyo gharama, Uchumi wao hautoshi, kwa maoni yangu ni bora Gesi yetu tungejikita kwenye kuexport kwenye Industrialized countries, huko ndiko kutakapo lipa, kama tukijaza Meli na Gesi na kuiuza Ulaya, Asia au hata USA ingawaje wana yao pia, lkn hasa Ulaya na Asia italipa, lkn kwa Kenya Uchumi wao ni mdogo mno kuhalalisha 1 billion Dollar USD investment hasa kama italipwa na walipa kodi wa uchumi mdogo kama wetu au Kenya.
Wewe unajua budget ya Kenya kwa mwaka moja ni pesa ngapi?
 
Hili bomba la gesi kwa Kenya is a matter of life and death, hawana ujanja wa kulikwepa, Kenya misitu michache iliyobaki inakatwa kwa kasi sana kwa ajili ya kuni na mkaa, wanahitaji hii gesi kwa haraka sana kupunguza kasi ya "deforestration".
Nakubaliana na hii point yako. Serikali imetoa idhini dhidi ya kukata miti. Sasa hivi tunatoa mbao za kuunda viti na mambo mengine Tanzania na Congo. Bei ya makaa imepanda ajabu.
 
Back
Top Bottom