ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Ni trillion ngapi kwa pesa ya Tanzania?Siyo swala la kuwa Mwafrika au la, ni swala la kiuchumi, haya mambo ndiyo yaliyotufikisha hapa, kuwekeza 1 bilion USD kwa nchi kama Tanzania ni pesa nyingi sana, na Kenya hakuna uchumi wa kuhalisha huo uwekezaji.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app