Mradi wa bomba la gesi asili toka Tanzania kwenda Kenya

Ten years from now, Kenya itakua katika hali mbaya sana bila hii gesi au kuungwa na umeme wa Julius Nyerere hydroelectricity dam.
Ajiulize baada ya Uganda kuanza ku-refine mafuta yake bomba lao la Mombasa-Nairobi-Kisumu litahudumia nani hapa EA? Hili bomba la gesi litalipa uhai bomba lao la mafuta!
 
Sisi tutaungwa na umeme wa Gerd Ethiopia. Tayari tumeshatia saini na Ethiopia. Halafu Gerd iko karibu kukamilika, tofauti na yenu ambayo bado iko 30% completion. Powerline kati ya Ethiopia na Kenya iko karibu kukamilika
 
Wewe nilishakuelezea kuwa pipeline hio itafanyiwa reverse flow ili ipeleke mafuta kutoka Uganda hadi Mombasa lakini wewe ni kichwa ngumu husikii
 
Sahau kabisa kuhusu GERD, hilo bwawa kama Ethiopia haitofikia makubaliano na Egypt, halitozalisha umeme kabisa, na wakifikia makubaliano maana yake Ethiopia itaweza kuanza kuuza umeme kuanzia 2026.
 
we will see! As far as i know that will be possible if Uganda is to link Hoima to ur Mombasa-Kisumu pipeline! No plans so far and i don't think Uganda will desert its Hoima-Tanga route and choose Mombasa! keep wishing....
 
Kwn kiwanda cha gesi huku Tz kimefikia wapi?
 
Wewe nilishakuelezea kuwa pipeline hio itafanyiwa reverse flow ili ipeleke mafuta kutoka Uganda hadi Mombasa lakini wewe ni kichwa ngumu husikii
Mafuta gani tena tuka Uganda hadi Mombasa wakati Uganda watakua na bomba lao toka Uganda hadi Tanga?.

Kama unazungumzia "refined oil" toka Uganda, kumbuka kwamba lengo kuu ya hiyo refinery ya Uganda ni kwa ajili ya domestic consumption, ndio sababu kila nchi ilipewa share katika huo mradi, sio kwa ajili ya kuuza nje ya EAC.
 
Sahau kabisa kuhusu GERD, hilo bwawa kama Ethiopia haitofikia makubaliano na Egypt, halitozalisha umeme kabisa, na wakifikia makubaliano maana yake Ethiopia itaweza kuanza kuuza umeme kuanzia 2026.
Ethiopia imeinvest $4.6 billion kwa hii dam. Halafu hio pesa ni michango ya Wahabeshi wa kawaida. Sasa sijui ni nini inakufanya useme eti Ethiopia hatazalisha umeme. Halafu hii dam iko 80% complete sasa sijui ni jambo gani inakufanya useme eti dam halitakamilika
Tazama picha mzee na ukubali kuwa hii dam imeshakamilika isipokuwa final touches tu. Halafu uhusiano kati ya Kenya na Ethiopia sio mbaya kama uhusiano kati ya Kenya na TZ.

ohtQ6RQ.jpg
Wo8wpXz.jpg
8X2xavv.jpg
m7fVbo7.jpg
M97IhEd.jpg
39aZUIe.jpg
 
we will see! As far as i know that will be possible if Uganda is to link Hoima to ur Mombasa-Kisumu pipeline! No plans so far and i don't think Uganda will desert its Hoima-Tanga route and choose Mombasa! keep wishing....
Sijasema Uganda should abandon Tanzania route. Uganda wakisharefine mafuta yao obviously watataka kutuuzia na sisi hatutakataa kununua kutoka kwao. Wakitaka kutuuzia basi itawabidi wajenge pipeline kutoka Hoima hadi katika border ya Kenya na UG. Kenya nayo tujenge kutoka Kisumu hadi Busia au Namanga. Uganda wakikataa kujenga pipeline na sisi basi tutaendelea kununua mafuta kutoka Middle East na kuisafirisha kutoka Mombasa hadi Kisumu kutumia hii pipeline. Hii pipeline itatumika whether tutanunua refined oil kutoka Uganda au Middle East. Sasa sijui ni vipi unazidi kusema eti hii pipeline ni white elephant. Pengine huelewi maana ya neno white elephant.
 
Sijasema Uganda should abandon Tanzania route. Uganda wakisharefine mafuta yao obviously watataka kutuuzia na sisi hatutakataa kununua kutoka kwao. Wakitaka kutuuzia basi itawabidi wajenge pipeline kutoka Hoima hadi katika border ya Kenya na UG. Kenya nayo tujenge kutoka Kisumu hadi Busia au Namanga. Uganda wakikataa kujenga pipeline na sisi basi tutaendelea kununua mafuta kutoka Middle East na kuisafirisha kutoka Mombasa hadi Kisumu kutumia hii pipeline. Hii pipeline itatumika whether tutanunua refined oil kutoka Uganda au Middle East. Sasa sijui ni vipi unashinda ukisema eti hii pipeline ni white elephant. Pengine huelewi maana ya neno white elephant.

Ati? 🙂🙂😀😛 i bet u don't know how irrelevant is Kenya in oil economics!
 
Mafuta gani tena tuka Uganda hadi Mombasa wakati Uganda watakua na bomba lao toka Uganda hadi Tanga?.

Kama unazungumzia "refined oil" toka Uganda, kumbuka kwamba lengo kuu ya hiyo refinery ya Uganda ni kwa ajili ya domestic consumption, ndio sababu kila nchi ilipewa share katika huo mradi, sio kwa ajili ya kuuza nje ya EAC.
Naongea kuhusu refined oil na sijasema eti Kenya itanunua mafuta kutoka Uganda ili tuuze nje. Obviously tutanunua mafuta ili tuitumie hapa hapa Kenya.
 
Ati? 🙂🙂😀😛 i bet u don't know how irrelevant is Kenya in oil economics!
Wakikataa kujenga pipeline basi sisi tayari tunanunua mafuta kutoka Middle East. Sio lazima tununue kutoka Uganda. Sawa mzee?
 
Ati? 🙂🙂😀😛 i bet u don't know how irrelevant is Kenya in oil economics!
Halafu unajua Kenya inatumia barrels ngapi kwa mwezi? Usiwe unaongea matope kila wakati. Eti Kenya ni irrelevant. Wewe hujui unachosema. Halafu unajua kuwa Kenya huwa tunanunua mafuta in bulk? Yaani tunaagiza meli moja kubwa kila mwezi kutoka Middle East halafu inauzwa kwa distributors ambao wanasambaza. Kwa hivyo tunanunua mafuta nyingi mara moja kila mwezi. Uganda hawawezi kukataa kutuuzia. Hawawezi kubali kupoteza hio pesa yote. Halafu Kenya inatumia refined oil nyingi kushinda UG au TZ. Sasa sijui wewe wazimu unacheka nini.
 
Ethiopia imeinvest $4.6 billion kwa hii dam. Halafu hio pesa ni michango ya Wahabeshi wa kawaida. Sasa sijui ni nini inakufanya useme eti Ethiopia hatazalisha umeme. Halafu hii dam iko 80% complete sasa sijui ni jambo gani inakufanya useme eti dam halitakamilika
Tazama picha mzee na ukubali kuwa hii dam imeshakamilika isipokuwa final touches tu. Halafu uhusiano kati ya Kenya na Ethiopia sio mbaya kama uhusiano kati ya Kenya na TZ.

View attachment 1592839View attachment 1592840View attachment 1592841View attachment 1592842View attachment 1592843View attachment 1592844
Ngumu sana kukuelewa unachowaza muda mwengine
 
Back
Top Bottom